Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
Mkuu ujue mimi ni mbishi sina mfano na hapa labda tukubaliane kutofautiana lakini bado nasisitiza kuwa hawa watu wapo,kawaida utasema kitu hakipo kama umekitafuta na kukikosa lakini huwezi kusema hakipo wakati hujakitafuta,siwezi kuamini kama dogo mmoja aliyeshinda medali ya dhahabu(nimesahau kidogo jina la nchi yenyewe) wakati nchi yake idadi ya watu haizidi 50,000 nchi nzima ameishinda Tanzania yenye watu zaidi ya 40,000,000..Tukiweka utaratibu mzuri wa kutafuta washiriki watapatikana tu..
Nimekubali wewe ni mbishi ila mimi naendelea kuamini hao watu hawapo hadi pale watakapopatikana na si vinginevyo. Wewe endelea kuamini wapo wakati hata mmoja huwezi nionesha!


