Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa unaweza Kuta Yale mambo ya kwenye movie, na katika uhalisia ni hivyo hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]Ugomvi mpaka kuzushiana kinyesi ,!!?,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣 Kwahaya maelezo ni wazi kabisa ni hamnazo yuleJamaa unaweza Kuta Yale mambo ya kwenye movie, na katika uhalisia ni hivyo hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo kwenye aquaman sababu ni alitaka alipwe pesa sawa na jason momoaHuyo mal**a Amber walianzisha petition asicheze tena kwenye Aquaman 2.
Hii kesi nimekua nikiifuatilia, and i gotta say, ukiwa na roho nzuri, haifichiki. Ukijaribu kuangalia mashahidi woote wanamtetea Johny Depp. Imefika a point hata mawakili wa Amber Herd wanakua kama wanajichanganya. Possibility ya Depp kushinda ni kubwa sana
Kwenye kesi na migogoro mingi ya mahusiano mara nyingi mwanaume hukutwa na makosa na wanawake huwa wanaonekana kama wahanga. Lakini deep down possibilities za kuwa wenye makosa na chanzo cha migogoro ndani ni wao.Lakini wanasema itakuwa ngumu kushinda kwasababu kwanza Amber hakumtaja jina, pia anasema kamchafua ndo maana kapigwa chini project mbili na ushahidi unaonyesha watengeneza movie walifanya huo uamuzi hata kabla ya interview ya amber.
It seems anatumia sana drugs. Ulibahatika kusikia au kusoma kisa chake na Amber wakiwa mapumzikoni Australia walichofanya kwenye nyumba waliokuwa wamepanga?
Deep ni teja na kuna kipindi unga ulimkolea haswaaa alikonda mno, mtu akishakua muathirika wa madawa hawezi kua sawa tena, madai ya Amber ni ya kweli,
Ref: Brad Pitt, unga ukamfanya akose Mke na access ya kua na watoto wake sababu ya ukorofi.
Inategemea mkuu, kuna muda mfano kama ni movie malipo yanakuwa fixed ila ikiwa movie au franchise, unakuta bado anaongezwa % flani kutokana na mauzo. Halafu role anayocheza ina matter, mfano Tariq St.Patrick wakati power inaanza alikuwa ana role ndogo alikuwa analipwa about $20000 per epsode, baadae role yake ikawa muhimu malipo yakapanda sana to 45000 sasa hivi kwenye power chapter 2 ni main character anakula malipo manono sana about $100000 to 150000.Hivi malipo ya actors wa mambele Huwa wanalupwaaje? Yani movie ikitokea Hadi iuzwe ndio walipwe ..au wanalipwa kablaa hata movie ijaanzwa kuchezwa
Hakuna biashara ya kukopeshana ukipewa mkataba unaingiziwa mzigo wako kwenye account ndipo actor anaingia location.Hivi malipo ya actors wa mambele Huwa wanalupwaaje? Yani movie ikitokea Hadi iuzwe ndio walipwe ..au wanalipwa kablaa hata movie ijaanzwa kuchezwa
Aise siyo mchezo mkuu ..Yani season moja mtu anakula Hadi 20B Tanzania shillings..!?? Naa vip kwenye movie mfano Hawa akina The Rock, hawa mastaa wakubwa wakubwa ..malipo Yao nao ni hivyo hivyo mkuu?Inategemea mkuu, kuna muda mfano kama ni movie malipo yanakuwa fixed ila ikiwa movie au franchise, unakuta bado anaongezwa % flani kutokana na mauzo. Halafu role anayocheza ina matter, mfano Tariq St.Patrick wakati power inaanza alikuwa ana role ndogo alikuwa analipwa about $20000 per epsode, baadae role yake ikawa muhimu malipo yakapanda sana to 45000 sasa hivi kwenye power chapter 2 ni main character anakula malipo manono sana about $100000 to 150000.
Kwenye game of thrones daenerys targaryen ilifika muda akawa analipwa $500000 per epsode na kumbuka kila season ilikuwa na epsode nane ina maana alikuwa anavuta about 8 million per season ambayo ni about 20 billion tzs
Mfano ikitokea movie imeuza sana mfano ile Avatar, au Captain Philips ..hakuna % wanapata umo?Hakuna biashara ya kukopeshana ukipewa mkataba unaingiziwa mzigo wako kwenye account ndipo actor anaingia location.
Hapana pia jina la mwigizaji lina matter mkuu, the rock atakuwa anakula pesa ndefu kufanya movie jina lina matter saba kwenye movie.Aise siyo mchezo mkuu ..Yani season moja mtu anakula Hadi 20B Tanzania shillings..!?? Naa vip kwenye movie mfano Hawa akina The Rock, hawa mastaa wakubwa wakubwa ..malipo Yao nao ni hivyo hivyo mkuu?
Sijakuelewa, kwamba Johnny depp hana ela ua, settlement yake ya kwanza na Amber alimlipa $7 million baadae akataka $14 million, sasa amber ana kesi naye anambdai depp $100 million depp yeye anataka amber amlipe $50 kama damage na ela ya kuendeshea kesi juu.Apo kwenye $50 na $650 umetupiga mchana kweupe[emoji119]
Aliingiza $650???? Au kuna tarakimu umezisahauNajua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean.
Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp.
Ila kwanza watengeneza movie walikuwa washaamua kwamba hatahusika tena katika movie hiyo kutokana na scandal alizonazo ikiwemo matumizi ya madawa na unyanyasaji. Haya yote yameibuka kutokana na mgogoro unaoendelea baina yake na aliyekuwa mke wake Amber Heard.
Amber Heard ambaye mwaka juzi inasemekana alikuwa na mahusiano na Bwana Elon Musk pia ni mcheza movie mashuhuri. Kabla ya kuachana walikuwa katika ugomvi mkubwa huku kila mmoja akimwinda mwenzake kupata ushahidi wa makosa anayofanya.
Ilifika kipindi wanategesheana hadi camera za siri, vinasa sauti, mwingine anamprovoke mwenzake alipuke amrekodi.
Kuna hadi picha za kinyesi kitandani ambapo kila mmoja anasema aliyekiporomosha ni mwenzake.
Mgogoro umeenda mbele zaidi ambapo sasa Johnny alifungua madai akitaka Amber amlipe $50 kwa kuchafua jina lake nje ya makubaliano yao kuwa baada ya taraka hawatazungumzia yaliyotokea kwenye ndoa.
Sasa akiwa mahakamani alisema kuwa hata angepewa ofa ya $300 milion dollars, asingekubali kucheza tena filamu ya pirates of the carribean. Ila wakili alimuonyesha ushahidi kuwa watengeneza Movie wenyewe walishasema kuwa hatohusika tena, yeye akajibu hakuwa na taarifa hiyo.
Johnny inadaiwa aliingiza kiasi $650 kutokana na movie hizo.
View attachment 2196563
This day will be remembered as the day that you almost caught captain Jack Sparrow
No yani throughout alijikusanyia $650 million ambapo $300 million zilitokana na pirates of the carribean franchise, wanadai matumizi yake na kutumbua kumeshusha utajiri wakr mpaka $150 million kwa sasaAliingiza $650???? Au kuna tarakimu umezisahau