Johnny Depp adai hata angepewa offer ya $300 milion, hawezi kuwa tena Jack Sparrow

Kwenye kesi na migogoro mingi ya mahusiano mara nyingi mwanaume hukutwa na makosa na wanawake huwa wanaonekana kama wahanga. Lakini deep down possibilities za kuwa wenye makosa na chanzo cha migogoro ndani ni wao.

Pengine hata utumiaji wa madawa ilikuwa ni sababu ya kukwepa kero na maudhi ya mkewe. Na pengine hakuwa muaminifu na alitengeneza mazingira ya talaka ili apate mgawo wa mali.
 
Deep ni teja na kuna kipindi unga ulimkolea haswaaa alikonda mno, mtu akishakua muathirika wa madawa hawezi kua sawa tena, madai ya Amber ni ya kweli,

Ref: Brad Pitt, unga ukamfanya akose Mke na access ya kua na watoto wake sababu ya ukorofi.
 
Hivi malipo ya actors wa mambele Huwa wanalupwaaje? Yani movie ikitokea Hadi iuzwe ndio walipwe ..au wanalipwa kablaa hata movie ijaanzwa kuchezwa
 
Hivi malipo ya actors wa mambele Huwa wanalupwaaje? Yani movie ikitokea Hadi iuzwe ndio walipwe ..au wanalipwa kablaa hata movie ijaanzwa kuchezwa
Inategemea mkuu, kuna muda mfano kama ni movie malipo yanakuwa fixed ila ikiwa movie au franchise, unakuta bado anaongezwa % flani kutokana na mauzo. Halafu role anayocheza ina matter, mfano Tariq St.Patrick wakati power inaanza alikuwa ana role ndogo alikuwa analipwa about $20000 per epsode, baadae role yake ikawa muhimu malipo yakapanda sana to 45000 sasa hivi kwenye power chapter 2 ni main character anakula malipo manono sana about $100000 to 150000.
Kwenye game of thrones daenerys targaryen ilifika muda akawa analipwa $500000 per epsode na kumbuka kila season ilikuwa na epsode nane ina maana alikuwa anavuta about 4 million per season ambayo ni about 10 billion tzs
 
Aise siyo mchezo mkuu ..Yani season moja mtu anakula Hadi 20B Tanzania shillings..!?? Naa vip kwenye movie mfano Hawa akina The Rock, hawa mastaa wakubwa wakubwa ..malipo Yao nao ni hivyo hivyo mkuu?
 
Aise siyo mchezo mkuu ..Yani season moja mtu anakula Hadi 20B Tanzania shillings..!?? Naa vip kwenye movie mfano Hawa akina The Rock, hawa mastaa wakubwa wakubwa ..malipo Yao nao ni hivyo hivyo mkuu?
Hapana pia jina la mwigizaji lina matter mkuu, the rock atakuwa anakula pesa ndefu kufanya movie jina lina matter saba kwenye movie.
Hujawahi jiuliza kwanini kwenye animation wanatumia waigizaji wenye majina makubwa wakati watademand malipo makubwa na huku huwaoni zaidi ya kuskia sauti zao?
Kwenye king richard Hollywood report walidai alilipwa $40 million kucheza hiyo character.
Akina John Travota walikuwa wanakula pesa ndefu sana.
 
Aquaman 2 inaenda kuwa big flop hii kesi akishinda Depp Mana WB wametimua Depp Kone fantastic beast atu wamemwacha Amber Kone Aquaman waanze kureshoot Aquaman mapema
 
Apo kwenye $50 na $650 umetupiga mchana kweupe[emoji119]
Sijakuelewa, kwamba Johnny depp hana ela ua, settlement yake ya kwanza na Amber alimlipa $7 million baadae akataka $14 million, sasa amber ana kesi naye anambdai depp $100 million depp yeye anataka amber amlipe $50 kama damage na ela ya kuendeshea kesi juu.
Wewe ukisikia movie zao zinacost ya $300+ kama budget halafu zinaenda kuuza mamilion au mabilion ya dolla unadhan budget kubwa inaishia wapi?
 
Aliingiza $650???? Au kuna tarakimu umezisahau
 
Aliingiza $650???? Au kuna tarakimu umezisahau
No yani throughout alijikusanyia $650 million ambapo $300 million zilitokana na pirates of the carribean franchise, wanadai matumizi yake na kutumbua kumeshusha utajiri wakr mpaka $150 million kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…