Johnny J

Johnny J

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Mshkaji ndio alikuwa pacha wa Tupac kwenye muziki, they were a match made in the thug-ven. Kuna story mchizi haku-commit suicide kama ilivyoripotiwa, ila 'walimzimisha' tu coz alikuwa na kazi nyingi sana za Pac ambazo hazijawahi kusikika na angeziachia.

Sasa kuna story tena Jigga-man kalipa zaidi ya dola milioni 350 ili kumiliki catalog na haki zote za muziki wa Pac. Inaweza kuwa a genuine business move, ama he's just another Puppet katumwa kuchafua legacy ya Pac. Either way, Pac's work is not in good hands.

Nilikuwa na matumaini someday ningeskia combination ingine ya Pac na Johnny, ila kwa sasa ni mpaka next life. Najua pia wana kazi kibao huko walipo. Hiyo move ya Jay imenikata maini sana
 
Mkuu unaweza kwa kina kuhusu Johny J na kuuzwa kwa milki ya kazi za Pac
 
Mkuu unaweza kwa kina kuhusu Johny J na kuuzwa kwa milki ya kazi za Pac

Johnny alitayarisha ngoma nyingi sana za Pac, zaidi ya 150, 'how do u want it' na 'hit 'em up' kati ya hizo. Ni chache sana ambazo ziliachiwa. Pac alimwamini na kumkubali sana Johnny, na kwa mshkaji pia the feeling was mutual.

Jay-Z kama hiyo ni habari ni ya kweli, kanunua kazi za Pac zilizokwisha-achiwa na ambazo bado, meaning, kila ngoma au mistari ya Pac itakayoachiwa kuanzia sasa, Jamaa lazima apitishe. Inasemekana wanaandaa album itakayowashirikisha watu kama Drake, Snoop Punk na ma-taahira wengine ambao Pac angekuwa mzima leo asingekuwa anaongea nao.

Hii deal itapandisha net-worth ya Jigga to 2bn.
 
But, according to a Roc Nation
representative, the whole Tupac rumor
simply is not true. Per Billboard:
The false rumors began surfacing on
social media Saturday (March 28) that
Jay Z had purchased Shakur’s unreleased
work from Entertainment One. Some
reports also noted that a new album
from the late rapper — titled And Now I
Rise — would be released in 2016, with
features by Snoop Dogg, Drake, Nas,
The-Dream, DMX, Beyonce and Jay Z.
A representative for Roc Nation denies
that any such acquisition has taken
place.
 
But, according to a Roc Nation
representative, the whole Tupac rumor
simply is not true. Per Billboard:
The false rumors began surfacing on
social media Saturday (March 28) that
Jay Z had purchased Shakur’s unreleased
work from Entertainment One. Some
reports also noted that a new album
from the late rapper — titled And Now I
Rise — would be released in 2016, with
features by Snoop Dogg, Drake, Nas,
The-Dream, DMX, Beyonce and Jay Z.
A representative for Roc Nation denies
that any such acquisition has taken
place.
And if you read my story and comment on that issue, i think i indicated that it was just a story, even the source where i got it, reported it as such.

Rumour or not, i'm still kinda disturbed by it my brother, coz i don't find it dope.
 
Back
Top Bottom