Baro hapa wansema kua hostel ziko limited,vipi inaweza kua tatizo!
dogo hostel zipo hasa 1st year wewe BVM usihof utapata mimi mwenyewe nina wakika wa kupata chumba coz ni waziri na tunahostel zetu ila mimi nitaishi mtaaani usihof dogo kila kitu ni pouwa.....jiandae kupiga msuli usiokuwa na likizo kwani BVM...naipa salute ingawa napiga engineering
SUA? wanaume na akili zenu mnaenda kusoma majani
SUA? wanaume na akili zenu mnaenda kusoma majani
kwa wale mliochaguliwa sua joining instruction bado hawajaitoa kwenye website....lakini hii link ni ile ya mwaka jana sidhani kama zitakuwa na totauti sana na ya mwaka huu pitia hii itakusaidia kwa baadhi ya mambo.......ila nyie mnaanza orientation 8/10/2012...jiandae
Mbona hizi za mwaka 2011
dogo hostel zipo hasa 1st year wewe BVM usihof utapata mimi mwenyewe nina wakika wa kupata chumba coz ni waziri na tunahostel zetu ila mimi nitaishi mtaaani usihof dogo kila kitu ni pouwa.....jiandae kupiga msuli usiokuwa na likizo kwani BVM...naipa salute ingawa napiga engineering
So bro kuanzia mwaka wa pili hostel ndo ishu kupata?
hapana wanapata ila wengne wanpenda kuishi kitaa........ukiomaa unapata ila kusubiria mpaka wte wapate ndo maana wengi wanaingia mtaani ila kubebana kama kawa
mkuu kama huna point kaa kimya!!!! KICHWA UMEPEWA CHA KUFIKIRIA SIO KUFUGIA NYWELE!!!! **** sana wewe...SUA? wanaume na akili zenu mnaenda kusoma majani
Ningekuona wa maana kama ungekuwa umem-quote mtu wa maana, lakini kum-quote huyu kiazi wa serikali hii zaifu aliyoyasema bungeni dhidi ya jembe letu Tundu Lisu umejidhalilisha zaidi.mkuu kama huna point kaa kimya!!!! KICHWA UMEPEWA CHA KUFIKIRIA SIO KUFUGIA NYWELE!!!! **** sana wewe...
mkuu siko hapa kwa ajili ya siasa!! kwani huo usemi haukuwepo tokea b4...sasa mambo iko hivi..sitaki bishana sana na wewe kwa ni ujinga...KAULI ULIYOITOA SI YA KIBUSARA HATA KIDOGO..NAIMAN WEWE NI MTU MWENYE AKILI TIMAMU NA UMEIONA,,SASA TUMIA UTIMAMU WAKO KUIFUTA HII KAULI... KUMBUKA SIO LAZIMA ILA NI MUHIMU!!!Ningekuona wa maana kama ungekuwa umem-quote mtu wa maana, lakini kum-quote huyu kiazi wa serikali hii zaifu aliyoyasema bungeni dhidi ya jembe letu Tundu Lisu umejidhalilisha zaidi.