joining instruction kwa wana sua

joining instruction kwa wana sua

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
kwa wale mliochaguliwa sua joining instruction bado hawajaitoa kwenye website....lakini hii link ni ile ya mwaka jana sidhani kama zitakuwa na totauti sana na ya mwaka huu pitia hii itakusaidia kwa baadhi ya mambo.......ila nyie mnaanza orientation 8/10/2012...jiandae
 
Baro hapa wansema kua hostel ziko limited,vipi inaweza kua tatizo!

dogo hostel zipo hasa 1st year wewe BVM usihof utapata mimi mwenyewe nina wakika wa kupata chumba coz ni waziri na tunahostel zetu ila mimi nitaishi mtaaani usihof dogo kila kitu ni pouwa.....jiandae kupiga msuli usiokuwa na likizo kwani BVM...naipa salute ingawa napiga engineering
 
Haina noma!
 
kwa wale mliochaguliwa sua joining instruction bado hawajaitoa kwenye website....lakini hii link ni ile ya mwaka jana sidhani kama zitakuwa na totauti sana na ya mwaka huu pitia hii itakusaidia kwa baadhi ya mambo.......ila nyie mnaanza orientation 8/10/2012...jiandae

Mbona hizi za mwaka 2011
 
dogo hostel zipo hasa 1st year wewe BVM usihof utapata mimi mwenyewe nina wakika wa kupata chumba coz ni waziri na tunahostel zetu ila mimi nitaishi mtaaani usihof dogo kila kitu ni pouwa.....jiandae kupiga msuli usiokuwa na likizo kwani BVM...naipa salute ingawa napiga engineering

So bro kuanzia mwaka wa pili hostel ndo ishu kupata?
 
hapana wanapata ila wengne wanpenda kuishi kitaa........ukiomaa unapata ila kusubiria mpaka wte wapate ndo maana wengi wanaingia mtaani ila kubebana kama kawa
 
Mimi niko chuo cha kata ila SUA naifagilia sana. Ebu jiulize, mara ya mwisho mgom sua ulikuwa lini? Unadhani kwa nini? Fikiri hili kwa kulinganisha na vyuo vingine vya public.
 
mkuu kama huna point kaa kimya!!!! KICHWA UMEPEWA CHA KUFIKIRIA SIO KUFUGIA NYWELE!!!! **** sana wewe...
Ningekuona wa maana kama ungekuwa umem-quote mtu wa maana, lakini kum-quote huyu kiazi wa serikali hii zaifu aliyoyasema bungeni dhidi ya jembe letu Tundu Lisu umejidhalilisha zaidi.
 
mkuu siko hapa kwa ajili ya siasa!! kwani huo usemi haukuwepo tokea b4...sasa mambo iko hivi..sitaki bishana sana na wewe kwa ni ujinga...KAULI ULIYOITOA SI YA KIBUSARA HATA KIDOGO..NAIMAN WEWE NI MTU MWENYE AKILI TIMAMU NA UMEIONA,,SASA TUMIA UTIMAMU WAKO KUIFUTA HII KAULI... KUMBUKA SIO LAZIMA ILA NI MUHIMU!!!
 
Back
Top Bottom