ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Ningekuona wa maana kama ungekuwa umem-quote mtu wa maana, lakini kum-quote huyu kiazi wa serikali hii zaifu aliyoyasema bungeni dhidi ya jembe letu Tundu Lisu umejidhalilisha zaidi.
ukimya pia una maana yake...nadhan umegundua makosa yako...ndugu usipende kutoa kauli mbaya na mbovu kama hizi katika mitandao kama hii..jua si mtu mmoja ataiona..wataona wengi na wengi watakwazika na kuudhika na maneno yako(wenda ukaaribu hata siku ya mtu kwa mambo ya kijinga)na huwez jua itakua na madhara gani kwa huyo mtu atakaye iona.. tumia akili na busara kama mtu aliye staarabika na sio KIBAKA au MLEVI..naiman hauko katika makundi hayo...FIKIRIA SANA UNAPOANDIKA KITU CHEKI FAIDA NA HASARA YAKE KUMBUKA USIPOANDIKA PIA HUTAPUNGUKIWA..WE NI MWELEWA BASI ELEWA...nawasilisha...SUA? wanaume na akili zenu mnaenda kusoma majani