Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule ipo mkoani Lindi wilaya ya Luangwa. asanteni, nawasilisha.
Mkuu Kituko,je,waweza kujua contact za mtu yeyote huko ili aniunganishe na mkuu wa shule ili kupata joining instructions? Tafadhari mkuu.
Daah hicho kijiji nakumbuka niliendaga utotoni kuna sehemu wajerumani wamejenga kanisa ma majengo yao kulikuwa porini sijui sikuiz kukoje... i wonder kumbe kuna hadi A level
Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule ipo mkoani Lindi wilaya ya Luangwa. asanteni, nawasilisha.
enzi zetu ilikua hakuna kuulizia namba ya headmaster,ni mwendo wa kusubiri barua posta then mwendo to skul