Joining instruction ya mbekenyera secondary school

jobel

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
321
Reaction score
174
Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule ipo mkoani Lindi wilaya ya Luangwa. asanteni, nawasilisha.
 
hii hapa mbekenyerajoin.pdf
 
Nashukuru sana ndugu yangu.Ubarikiwe sana.
 
Mkuu OPERA MINI,nimejaribu kufata hiyo link inagoma kufunguka.Address ya hiyo link ipo sawasawa?
 
Duh Mmenikumbusha mbali sana, hiyo ni Wilaya ya Ruangwa.
Nanganga, Nambilanje, Nanjaru
 
Mkuu Kituko,je,waweza kujua contact za mtu yeyote huko ili aniunganishe na mkuu wa shule ili kupata joining instructions? Tafadhari mkuu.
 
Hapana kaka, nilipitaga hayo maeneo miaka mingi sana, sina mtu kwa sasa
 
Asante, hamna shida hope atajitokeza mtu mwenye contact za mkuu wa hiyo shule. Pamoja sana mkuu.
 
Daah hicho kijiji nakumbuka niliendaga utotoni kuna sehemu wajerumani wamejenga kanisa ma majengo yao kulikuwa porini sijui sikuiz kukoje... i wonder kumbe kuna hadi A level
 
Dada yangu qn of sheba,huko siku hizi kumeendelea ni kweli kabisa wana hadi A level.Ni jimbo la uchaguzi la Kasimu Majaliwa,kama sikosei ndiye naibu waziri wa TAMISEMI.
 
Mbekenyera City....
Umwerani.
Kasome mdogoangu

Mkuu Da Pretty,ni kijana wangu ndiye amepangiwa huko Mbekenyera City... Umwerani. Of course anakwenda kusoma.Pamoja sana mkuu.
 
Wadau kwa anayeifahamu join instruction ya Muyovozi high school iliopo kasulu,kigoma naomba anisaidie
 
Wana JF, Salaam. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kupata joining instruction ya shule tajwa hapo juu anisaidie. Pia kama kuna mwenye contact za mkuu wa shule hiyo naomba anipatie.Nasikia ni shule ipo mkoani Lindi wilaya ya Luangwa. asanteni, nawasilisha.

kjana kapge msul note:siku ya wali utapata azammalti ukkosa utashushia bibo juice anda dawa kwa ajili ya fangasi, anza kujifunza kucheza draft kuepuka upweke coz n kjjn, umeme wa sola automated saa 12 unawaka,vdem angalia usje ukarud umebebwa kwenye mbao
intro.4moinfo npm
 
Ntafute 0656340133 me mwenyewe nimepangwa huko na head master nshaongea nae,nipigie nikupe habari kwa undani zaidi.

asante.
 
enzi zetu ilikua hakuna kuulizia namba ya headmaster,ni mwendo wa kusubiri barua posta then mwendo to skul
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu Kertel,enzi hizo ilikua unaenda posta kuangalia kama wameshatuma joining instruction, lakini sasa mambo yamebadirika sana. Ni zama za kizazi cha dot com!
 
Back
Top Bottom