Joining instructions ya Mlangarini Secondary School haipatikani

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
1,419
Reaction score
804
Wadau Habari za mida hii,

Joining instructions ya Shule ya Sekondari MLANGARINI haipatikani kwa utaratibu uliotolewa na TAMISEMI.

Kama kuna mdau anayo, basi naomba anitumie. Pia kama kuna mdau mwenye namba za mwalimu yoyote wa shule hiyo au shule jirani na hiyo, basi naomba anisaidie namba hizo ili nipate msaada kutoka kwao.
 
Ingia google search jina la shule itatokea contact ya shule call hio contact elezea shida ako utapata msaada
 
Nami pia natafuta fomu ama mawasiliano ya shule ya sekondari Mizengo pinda ya katavi.. nimeingia google hakuna fomu wala mawasiliano yao.. sijajua imekuwaje mpaka tamisemi sasa hawajaweka...
 
Kwakweli jambo hili linasumbua sana. Wahusika wangekuwa wanapitia humu, shida hizi zungefutika

Back
Top Bottom