ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Ingia google search jina la shule itatokea contact ya shule call hio contact elezea shida ako utapata msaadaWadau Habari za mida hii,
Joining instructions ya Shule ya Sekondari MLANGARINI haipatikani kwa utaratibu uliotolewa na TAMISEMI.
Kama kuna mdau anayo, basi naomba anitumie. Pia kama kuna mdau mwenye namba za mwalimu yoyote wa shule hiyo au shule jirani na hiyo, basi naomba anisaidie namba hizo ili nipate msaada kutoka kwao.
Asante sanaIngia google search jina la shule itatokea contact ya shule call hio contact elezea shida ako utapata msaada
Nami pia natafuta fomu ama mawasiliano ya shule ya sekondari Mizengo pinda ya katavi.. nimeingia google hakuna fomu wala mawasiliano yao.. sijajua imekuwaje mpaka tamisemi sasa hawajaweka...