Joining instructions za wanachuo wapya vyuo vya kati zinatoka lini?

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,624
Reaction score
1,934
Majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vya kati yameshatoka lakini Joining Instructiins bado ili wazazi tuone tunajipangaje.

Zinapatikanaje hizi?
 
TIA ni tarehe 26 mwezi huu. Nina binti yangu kachaguliwa hapo kusomea uhasibu. Ninashauri kwa sasa tukusanye tu pesa kwanza. Usipoteze kuwaza instructions. Weka kama 1.5m standby
 
Hapo sasa!!
 
70k ni Advanced Level. Nimesikia Kasulu TC ni 450k, sijui kama TC zote nchini zina ada inayofanana. Ndio nasubiri specifically ya Butimba
Kama ndo hivo kwa Butimba itakua slightly juu ya hapo ada 600k
 
Majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vya kati yameshatoka lakini Joining Instructiins bado ili wazazi tuone tunajipangaje.

Zinapatikanaje hizi?
Ingia katika website ya chuo husika utakuta io joining instruction na mchanganuo wa ada kwa kozi husika,kwasasa utaikuta ya mwakajana na tofauti kwenye ada iliyoandikwa kwenye yale majina ya selection na ada ya chuo hapo unaweza kuta zitapishana kidogo.
Mara nyingi joining instructions wanaziupdate izo izo labda na mabadiliko kidogo sana tarehe za kukaribia kufungua vyuo zikifika.
 
  • Thanks
Reactions: Mu7

Asante ndugu
 
Kila chuo kina utaratibu wake nibora ungeenda kwenye website ya chuo huska unaweza kuta hata ya mwaka jana maana hazipishani sana mahtaj huwa ni yaleyale nisjue ada inaweza ongezeka kdg au kupungua but sio rahisi kupungua
 
Back
Top Bottom