Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Mh. Jojo akihutubia kikaoni leo katika mkutano wa UWT. Ni kama ameanza kula chumvi sasa! Ujana kweli haudumu
IMG_0170.jpeg
 
Majukumu makubwa yanauchosha mwili unazeeka kwa haraka. Fuatilia Marais wengi wakati wanaingia madarakani mionekano yao na baada ya mwaka mmoja na kuendelea.

Bado ni mrembo lakini na hakuna atakayebaki kijana milele. Hata wewe kuna watu wanakuona umezeeka pia.
 
Back
Top Bottom