Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Jojo anazeeka sasa, kweli ujana haudumu

Kipindi tunasoma kuna jamaa yangu hakujua kama ni Jokate akaanza kumpigia misele, siku anajua alijiona fala [emoji3]
Dah! Umenikumbusha mbali sana. Kipindi Sinta Yuko juu sana,ndo wameachana na Nature. Nilikuwa na mshkaji wangu,Sinta tumekutana naye akiwa njiani katokea kwao Kimara Kilungule. Yeye na sisi tu hakuna mwingine njiani. Nikapanga na jamaa namtokea,Bado Yuko mbali kidogo kutukaribia . Alivyofika karibu kujua ni yeye tulitawanyika ile njia akapita katikati . Jamaa alinicheka sana.
 
Yupo vyema miaka inaenda lazima uendane na umri tena yeye yupo vizuri wengine washazeeka
 
Kwani yeye ni Nani asizeeke mkuu? JF siku hizi imekuwa Jukwaa na udaku badala ya Hoja
Ila na haya ma-cream makali yanatepetesha ngozi.. ss mheshimiwa DC hata 40 sidhani kama kafikisha...
Sista du wa bush anayetumia vestline umri huo baado mbichi kabisa..
 
Viongoziu wanauchukulia majukumu yao serious na hutumia akili sana wanapokuwa kazini huwa wanachoka haraka sana wakati wale wasiokuwa serious huponda raha sana. Waangalie akina Obama na Clinton alivyo leo uwalinganishe na George Bush. Kiumri Obama ni mdogo kjwa Bush wakati Clinton na Cliunton wana umri unaolingana.
Mfano Samia anakiwa kijana sabb hahaingaiki na mambo ya nchi
 
Ujana ni mfupi sana, 18-35 ni kama 17yrs tu, utoto, utu uzima na uzee ndio vina range kubwa.
Umri wa mwanamke ku shine ni miaka 18 mpaka 25 kama hajazaa. Hapo ndio mwanamke anakua kwenye peak kwa maana ya sura, umbo nk. Baada ya hapo ndio wanawake huanza kunenepa, sura kushuka, macho kutumbukia, makunyanzi nk.

Kwa upande wa mwanaume, umri wa ku shine ni miaka 20 -60+ kama akijiweka vizuri kwa milo na mazoezi.

Will Smith, 55
 
Attachments

  • Screenshot_20240311-223927_Chrome.jpg
    Screenshot_20240311-223927_Chrome.jpg
    505.5 KB · Views: 4
Umri wa mwanamke ku shine ni miaka 18 mpaka 25 kama hajazaa. Hapo ndio mwanamke anakua kwenye peak kwa maana ya sura, umbo nk. Baada ya hapo ndio wanawake huanza kunenepa, sura kushuka, macho kutumbukia, makunyanzi nk.

Kwa upande wa mwanaume, umri wa ku shine ni miaka 20 -60+ kama akijiweka vizuri kwa milo na mazoezi.

Will Smith, 55
Kuna wanawake wapo 30-50 ni watam sana machoni mkuu, inategemea wewe unaangalia nini kwao.
 
Kuna wanawake wapo 30-50 ni watam sana machoni mkuu, inategemea wewe unaangalia nini kwao.
Of coz kuna wachache wenye "udongo mzuri" ila majority wakishagonga 30 unaona kabisa wanakua wazee.

Mimi kuna mdada namfahamu atakua ana 50+ sasaivi ila akivaa uniform za sekondari anapokelewa 😀 na ukikutana nae lazima mimacho ikutoke
 
Back
Top Bottom