Jojo inahusiana vipi na njaa?

Jojo inahusiana vipi na njaa?

ashidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
291
Reaction score
340
Habari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani...
Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi uliopita, je? Jojo husababisha njaa kweli au nina allergy?
Nawasilisha
IMG_20180814_135105_641.jpg
 
Attachments

  • IMG_20180814_135105_641.jpg
    IMG_20180814_135105_641.jpg
    6.1 KB · Views: 30
Habari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani...
Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi uliopita, je? Jojo husababisha njaa kweli au nina allergy?
NawasilishaView attachment 835561
kutafuna unatumia nguvuu....ko ukitafuna muda mrefuu lazima upate njaa...
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuna siku nikiwa form two kengere ya msosi jion imelia nikala frsh tu kwenda prepo nikakuta jamaa ana big g nikaomba nikaitafuna weee hadi muda wa kulala, siku hiyo nilikesha nahesabu kench hadi nikamiss home!
 
Me naona tatizo lipo pale unapoanza kujijaza mimate tumboni isiyo na kitu chochote,labda unaongeza umeng'enyaji sehemu isiyo na chakula labda lakin..ngoja mafundi wa miili ya binadamu waje
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuna siku nikiwa form two kengere ya msosi jion imelia nikala frsh tu kwenda prepo nikakuta jamaa ana big g nikaomba nikaitafuna weee hadi muda wa kulala, siku hiyo nilikesha nahesabu kench hadi nikamiss home!
Pole sana mkuu, wapi huko skul labda tulisoma wote
 
Pole sana mkuu, wapi huko skul labda tulisoma wote
Unapotafuna unatumia nguvu fulani ivyo kuhitaji chakula, pia ukitafuna tumbo linajiandaa kupokea kitu hiyo ni coordination topic ya biology form one!
 
Mwili unakuwa unajiandaa kupokea chakula kipya wakati unatafuna, alafu mwishowe unameza mate tu , hapo njaa ndio inakuja
 
Unapotafuna Jojo, unatengeneza mate mdomoni, unapomeza hayo mate na mate kuanza kwenda tumboni, tumbo linajiandaa kupokea chakula, ghafla tumbo linatambua ni mate na si chakula.

Kitendo hicho kinasabisha mtu ahisi njaa.
 
Back
Top Bottom