Jojo inahusiana vipi na njaa?

Jojo inahusiana vipi na njaa?

Habari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani...
Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi uliopita, je? Jojo husababisha njaa kweli au nina allergy?
NawasilishaView attachment 835561
Kwasababu unadanganya mwili kuwa unatafuna kitu utameza afu utashiba, kumbe hakiendi kitu zaidi ya mate so ile activity ya kutafunatafuna bila kushiba ndo inaleta hisia ya njaa
 
Back
Top Bottom