Joka mwenye vichwa saba

nimewahi sikiasikia but...hekaya! eti wakati inaponyesha mvua kubwa uck kama ile 1999 dec huwa "anahama" from place to ocean or viseversa/
 
Aaaaaaaah mimi bora nilitege visu gamba la ccm,najua nitapata meno ya tembo,begi la madawa,madini..... ntakuwa tajili tu.
 

Lipo hata Tanzania kondoa lipo,
 

kweli,hata me nilisikia kwa kuhadithiwa...na anaitwa Nondo...na kwa mujibu nilivyoambiwa ye huwa anaishi chini yaani ndani ya milima/vichuguu na akimove ndo hisababisha earthquake ktk maeneo hayo!..ila hili la utajiri nalickia kwako!!
 
Hizo ni hadithi hazina ukweli wowote, ila inasemekana ndani ya ziwa tanganyika amewahi kuvuliwa joka kubwa sana lenye urefu wa zaidi ya km 2. Source masimulizi ya bibi yangu
Hahaaa...mkuu nimegundua ulikuwa mbishi kula bibi akagundua story ya kukutishia!! Mkuu kilometa mbili unazijua lakini!!!??mie hapa najaribu kupima hili la kwangu kwenye suruali hata nusu rula halifiki!!!!
 
Mmmmh Is like shaking hands to davel himself!
 
Lipo hata Tanzania kondoa lipo,

Watoto mmechanganyikiwa.Ukisikia muujiza wa namna hiyo usiende kukata mkono wa Albino, utauwa. Joka lenye vichwa saba wewe huliwezi, ni watu wa Mkubwa Mwenyezi Mungu. Yohani Mbatizaji walimkata kichwa lakini akarudi kama MNYAMA mwneye vichwa saba akiwa na mamlaka ya kuwaongoza Waislamu. Soma Ufununuo wa Yohana aya ya 12. Mwezi na Nyota ya Waislamu utavikuta. Ukienda Mwanza kutafuta wa kutumbukiza katika mashimo ili upate ng'ana utaua, tena hata ndugu zako.
 
Lipo gamboshi, lenyewe lina vichwa vitatu linatoa ndimi za moto mdomoni. Kuchwa cha katikati ni kikubwa kuliko viwilivya pembeni ambavyo ni vidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…