Jokate adai bado yupo single

Jokate adai bado yupo single

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show' anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Jumanne aka The Rocker.

theoneshow1.jpg

theoneshow1Watangazaji wa The One Show, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo Katika kipindi hicho cha kwanza kuoneshwa, watangazaji hao walianza kwa kuhojiana wao kwa wao kwanza na moja ya maswali aliyoulizwa Jokate ni kama yupo kwenye uhusiano wowote wa mapenzi. Jokate ambaye pamoja na kuwa muigizaji wa filamu pia ni muimbaji wa muziki na mjasiriamali, alisema kuwa kwa sasa yupo single lakini haimaanishi kuwa wanaume hawamsumbui kumtaka kimapenzi.Jokate amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa basketball wa timu ya Oklahoma City Thunder, Mtanzania Hasheem Thabeet pamoja na uhusiano uliodumu kwa kipindi kifupi na staa wa muziki, Diamond Platnumz.

haya wadau nafasi adimu hiyo tukamte fursa...
 
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............

ningekua mimi ningemuuliza why she is single
 
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............

ningekua mimi ningemuuliza why she is single

Huyu ezden kabla ya kuwa hapo tv1 (japo siwahi kuiangalia) alikuwa mtangazaji wa kiss FM na starTV hapa mwanza baadaye akawa mtangazaji wa timesFM hapo dar, ni mtangazaji machachali sana hususani upande wa kimombo!
 
hayaaaaaa nishampata si ndio mume wa Dida sura ilikua inakuja network zinakata

nilikiona hiko kipindi Tv1 kwanini hujawahi kuangalia tv1
 
hayaaaaaa nishampata si ndio mume wa Dida sura ilikua inakuja network zinakata

nilikiona hiko kipindi Tv1 kwanini hujawahi kuangalia tv1

Haipo kwenye line ya cable yetu tunayotumia naskia ni nzuri hopely ipo siku nitaiyangalia!
 
Binti mlokole kwa kujitangaza yuko single hajambo
 
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............

ningekua mimi ningemuuliza why she is single

Ningekuwa mimi ningemuuliza hivi kama ikigundulika una boyfriend sex partner huyo mwanaume atajiweka kundi gani? is better to skip some Question. kwenye profile yangu ya Facebook iko kipengele nimekiruka.
 
King Zizi demu wake ni DAndy wa Clouds Fm

basi anapiga wote kwan c anataka wa kumfanyia promo nyimbo zake mwambie apige na penny ili ateke na kituo kile
 
Ningekuwa mimi ningemuuliza hivi kama ikigundulika una boyfriend sex partner huyo mwanaume atajiweka kundi gani? is better to skip some Question. kwenye profile yangu ya Facebook iko kipengele nimekiruka.

hahaa maana kakanwa hadharani..........

we kwanini umeruka hilo swali au hata jibu ni personal
 
Back
Top Bottom