lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 296
Wow hongera zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hata hatuchezagi game
Ukitaka kuamini uchawi upo, soma comments za watu kwenye jambo lolote la mafanikio ya mtu maarufu
Kwan games zingine duniani kote zina faida gani?
Kidoti Relax hela haitafutwi hivyo,sticky sehemu moja kwanza upate basement,kila sehemu upo wewe mara nywele,mara wachina na bilioni 8,mara ndala haijakaa sawa upo kwenye game khaaaaaaaa.
Ha ha ha kama wengine wasivyokunywa thoda.....
Navyoipenda novida acha kabithaaaa
Kidoti Relax hela haitafutwi hivyo,sticky sehemu moja kwanza upate basement,kila sehemu upo wewe mara nywele,mara wachina na bilioni 8,mara ndala haijakaa sawa upo kwenye game khaaaaaaaa.
XrHapo kwelii..labda game mtu!!!
Ha ha ha yaani ukishauri utaonekana hater tu.Hata bakhressa hakuanza biashara hvyo
Tusubiri tuone itakavyokuaa,ni wangapi watakua wanacheza hiyo game
Nani acheze gemu?bora watu wakafuatilie umbea IG ndo game yake.
Ndala ndo kabisa....
Hata me namshangaa sana lakini utaitwa hater.Yaan watu tumezoea kusifiwa tu
Hata mi mwenyewe namshangaa, mapepe kweli. Linajiona hustler wakati mambo hayako hivyo
Ukitaka kuamini uchawi upo, soma comments za watu kwenye jambo lolote la mafanikio ya mtu maarufu
Ndala zinauzwa sh.ngapi vile hhhhaaaa,,,,angeanza na vitu bei ya kawaida ilikuteka wateja wengii halaf anaanza kupandisha taratibu sasa yeye anataka awe bakhresa kwa mwaka mmoja tu
Ukitaka kuamini uchawi upo, soma comments za watu kwenye jambo lolote la mafanikio ya mtu maarufu
Anaelekea Kibla huyu kidoti......