Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Hii ndio dawa ya maswali yasiyo na maana , hajui kwamba alikuwa anamujaribia maisha na swali lile
 
Pesa muhimu aisee,

Kuna mtu aliwahi nambia bila pesa wadada wazuri nitaendelea kuwaita shemeji.

Eti na yeye nimuiye shemeji[emoji23] pesa bhana
Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??

Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??
 
Anakaa posta siku hizi mkuu ndo maana nimesema anakaa pazuri. Si unajua Posta hamna makelele kama huku uswahilini kwetu eeh
Ah! Kumbe... yaani na midaladala yote ile, kweli watu tumetofautiana! Na lile suala la sijui, oh, yaani mitandao akomalie kwingine, unatarajia aache interests zake zirande rande mitandaoni!! Huyu ndugu alikuwa anamzungumzia nani hasa? Au wazazi ake na Kate wanafanyia TCRA na BASATA?
 
Kweli kuachwa kubaya,mam'dogo leo hii hamjui kiba?
Ila mam'dogo kang'aa kapendeza kweli
 
Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??

Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??
Nakazia hii
 
Zile kelele za daladala kuna mahali ukikaa huzisikii kabisa
 
Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??

Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??
Eti kazi yako kuchomea makoroboi alafu unamuwazia Nancy Sumari.

Maisha ni real sio bongo muvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…