Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ndo yeye huyoHuyo kwa avatar ni wewe? Wacha nitafute pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo yeye huyoHuyo kwa avatar ni wewe? Wacha nitafute pesa
Jojo uzuri anao sema bahati ndo naona sasa hivi imemuangukia ya mtende[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
Wanasema usililie uzuri Lilia bahati
NimeionaMbona hujaandika alivyoshangiliwa mama wa taifa video iko kwenye insta ya Mange
Sitaki uchokoziHuyo kwa avatar ni wewe? Wacha nitafute pesa
Sitaki uchokozi
Ndo yeye usichocheeSitaki uchokozi
Wewe msichana utajuaje jokate ni mzuri??Ila huyo mwandishi nae mmbea. Kuuliza swali la mtego ili iweje wakati mwenzie kakaa pazuri sasa hivi. Jokate kazuri sana nako
Wewe msichana utajuaje jokate ni mzuri??
Aisee!!Baba ni mbovu kwa vizuri
Akitaka pesa analetewa tu kwenye mfuko wa salfeti...ama kwa hakika,pesa ndo kila kitu dunia hii
Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??Pesa muhimu aisee,
Kuna mtu aliwahi nambia bila pesa wadada wazuri nitaendelea kuwaita shemeji.
Eti na yeye nimuiye shemeji[emoji23] pesa bhana
Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??
Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??
Ah! Kumbe... yaani na midaladala yote ile, kweli watu tumetofautiana! Na lile suala la sijui, oh, yaani mitandao akomalie kwingine, unatarajia aache interests zake zirande rande mitandaoni!! Huyu ndugu alikuwa anamzungumzia nani hasa? Au wazazi ake na Kate wanafanyia TCRA na BASATA?Anakaa posta siku hizi mkuu ndo maana nimesema anakaa pazuri. Si unajua Posta hamna makelele kama huku uswahilini kwetu eeh
Nakazia hiiUkiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??
Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??
Ah! Kumbe... yaani na midaladala yote ile, kweli watu tumetofautiana! Na lile suala la sijui, oh, yaani mitandao akomalie kwingine, unatarajia aache interests zake zirande rande mitandaoni!! Huyu ndugu alikuwa anamzungumzia nani hasa? Au wazazi ake na Kate wanafanyia TCRA na BASATA?
Mamdogo anatunzwa jamaniKweli kuachwa kubaya,mam'dogo leo hii hamjui kiba?
Ila mam'dogo kang'aa kapendeza kweli
Eti kazi yako kuchomea makoroboi alafu unamuwazia Nancy Sumari.Ukiwa huna pesa hata kujiamini huwezi aisee,,unakuwa unaishi kwa machale machale tu...sasa mtoto mzuri utampatia wapi??
Pesa itafutwe kwa nguvu zote,ili atleast na sisi tutafune vitu vyenye quality..au unasemaje??