[emoji16][emoji16][emoji16]wadada wabaya jamani!kaajPesa muhimu aisee,
Kuna mtu aliwahi nambia bila pesa wadada wazuri nitaendelea kuwaita shemeji.
Eti na yeye nimuite shemeji[emoji23] pesa bhana
Hahaha!!..kweli mkuuEti kazi yako kuchomea makoroboi alafu unamuwazia Nancy Sumari.
Maisha ni real sio bongo muvi.
Shepu la kuvunja changa kama la "MAMA WA TAIFA".Sio mimi mkuu. Nimeipenda shape ya huyu dada nikaamia kuweka avatar
Kwa ule mstuko alivyoitwa "MAMA WA TAIFA" inaashiria kitu.
MANGE KASHASEMA COCOCHANEL.Hakuna kitu.. nae mwanya wa kupata kiki akadandia.. na ameipata kweli kweli.
MANGE KASHASEMA COCOCHANEL.
Ila Mbona za BASHITE hakoseagi? kuanzia breakin nuz ya mkewe kuwa na mimba na kujifungua(alipost siku 3 kabla ya bashite kufunguka).Ha ha haaaaaa
Huoni anaogopaga kurusha habari anasema huwa anakosea na hanaga huakika na zingine.. ndio hivyo nayo hiyo kakosea..
Hii kitu ipo wapi wandugu nami niburudike.Kwa ule mstuko alivyoitwa "MAMA WA TAIFA" inaashiria kitu.
Basi sawa, n'shaelewa hivi sasaZile kelele za daladala kuna mahali ukikaa huzisikii kabisa
WeweYani daaah. Na nasikia jamaa yake anahonga balaa. Miaka mingapi iliyobaki ikiisha Jojo atakua Jack Mengi na yeye kama akicheza vizuri
Haaahaaa....usemi wa Kiba huo " POP IT IN"Yoooh!
Pop It In
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kwani we ulielewa nini?Kwa ule mstuko alivyoitwa "MAMA WA TAIFA" inaashiria kitu.
Ignites with a pop soundHaaahaaa....usemi wa Kiba huo " POP IT IN"
Hivi huwa anamaanisha nini?
Shepu la kuvunja changa kama la "MAMA WA TAIFA".