screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kama we mwanaume weka picha yako na jina halisihana uzuri huo..nimepigà sana miaka ya 2008,2011 akahudhuria ndoa yangu diamond jubilee bila kinyongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama we mwanaume weka picha yako na jina halisihana uzuri huo..nimepigà sana miaka ya 2008,2011 akahudhuria ndoa yangu diamond jubilee bila kinyongo
Ha ha haaMwenzangu ni pazuri mno alipokaa unaamrisha tu vinakuwa.
Changamoto iliyopo unapambana alafu ela huipati na kidogo unazidi kuwa mhenga inabidi uvute jiko la kawaida kabisa angalau ujenge familia, alafu baada ya muda unakuja kuwa na hela kishenzi baada ya kuoa wakati umeshashika dini kwamba uzinzi dhambi (ndio mwisho tena wa kula vitu vizuri)Kweli eti, tuzidi kupambana
hahahaaaa..unakosea njia mara mojamoja..unapigaChangamoto iliyopo unapambana alafu ela huipati na kidogo unazidi kuwa mhenga inabidi uvute jiko la kawaida kabisa angalau ujenge familia, alafu baada ya muda unakuja kuwa na hela kishenzi baada ya kuoa wakati umeshashika dini kwamba uzinzi dhambi (ndio mwisho tena wa kula vitu vizuri)
we muulize jojo ile harusi alihudhuria diamond jubilee..lazima atabasamKama we mwanaume weka picha yako na jina halisi
Changamoto iliyopo unapambana alafu ela huipati na kidogo unazidi kuwa mhenga inabidi uvute jiko la kawaida kabisa angalau ujenge familia, alafu baada ya muda unakuja kuwa na hela kishenzi baada ya kuoa wakati umeshashika dini kwamba uzinzi dhambi (ndio mwisho tena wa kula vitu vizuri)
Ni kweli wakati mwingine ukishindwa kula vizuri wewe basi wanao watakuja kula vizuri angalau unabaki unazunguukwa na wakwe wazuri wazuri uzee wako uende vizuriNi kweli, sio lazima wote tule vizuri boss.
Ila usijenge kibanda maana ambao hawajapitia ujana ndio hao tunaona wanatelekeza familiahahahaaaa..unakosea njia mara mojamoja..unapiga
Ni kweli wakati mwingine ukishindwa kula vizuri wewe basi wanao watakuja kula vizuri angalau unabaki unazunguukwa na wakwe wazuri wazuri uzee wako uende vizuri
Ni kweli mkuu maana hata ulichonacho hata kama kitaonekana cha kawaida kwa upande mwingine kina vitu vizuri vingi zaidi kuliko hao wazuriWataki mwingine hatuwezi pata vyote tunavyotaka, inabidi kuridhika na tulivyonavyo, vizuri haviishi kamwe
Ni kweli mkuu maana hata ulichonacho hata kama kitaonekana cha kawaida kwa upande mwingine kina vitu vizuri vingi zaidi kuliko hao wazuri
Wolper Mzuri?????? Khaaaaa macho yako yakapimwe mkuuu, yule???Hamzidi wolper,yule mwanamke ni moto
Umejibu vizuri sana nadhani muda utaamua na ni vizuri kuzichanga karata vyema..mimi sio mtaalamu wa ushilawadu ndio maana itakuwa ngumu kujua hili
Rafiki insta unatumia jina gani/ID gani?[emoji53][emoji53][emoji53]Mbona hujaandika alivyoshangiliwa mama wa taifa video iko kwenye insta ya Mange
Kakaa pazuri wapi rafiki?[emoji53][emoji53][emoji53]Ila huyo mwandishi nae mmbea. Kuuliza swali la mtego ili iweje wakati mwenzie kakaa pazuri sasa hivi. Jokate kazuri sana nako
Posta rafikiKakaa pazuri wapi rafiki?[emoji53][emoji53][emoji53]
Hii hiiRafiki insta unatumia jina gani/ID gani?[emoji53][emoji53][emoji53]
Nimekuelewa sana rafiki ila siyo kwa chura hilo hapo kwenye avatar yako!!....Hivi mimi kisa cha kuishia kula tu kwa macho deile ni nini?...Au rafiki nibadilishe avatar nami nile vitamu kama wanavyokula akina fulani kisa avatar za uhendsome?Posta rafiki
[emoji53][emoji53][emoji53]Hii hii