Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Kweli eti, tuzidi kupambana
Changamoto iliyopo unapambana alafu ela huipati na kidogo unazidi kuwa mhenga inabidi uvute jiko la kawaida kabisa angalau ujenge familia, alafu baada ya muda unakuja kuwa na hela kishenzi baada ya kuoa wakati umeshashika dini kwamba uzinzi dhambi (ndio mwisho tena wa kula vitu vizuri)
 
hahahaaaa..unakosea njia mara mojamoja..unapiga
 
Changamoto iliyopo unapambana alafu ela huipati na kidogo unazidi kuwa mhenga inabidi uvute jiko la kawaida kabisa angalau ujenge familia, alafu baada ya muda unakuja kuwa na hela kishenzi baada ya kuoa wakati umeshashika dini kwamba uzinzi dhambi (ndio mwisho tena wa kula vitu vizuri)

Ni kweli, sio lazima wote tule vizuri boss.
 
Posta rafiki
Nimekuelewa sana rafiki ila siyo kwa chura hilo hapo kwenye avatar yako!!....Hivi mimi kisa cha kuishia kula tu kwa macho deile ni nini?...Au rafiki nibadilishe avatar nami nile vitamu kama wanavyokula akina fulani kisa avatar za uhendsome?
 
Back
Top Bottom