Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

Anakaa posta siku hizi mkuu ndo maana nimesema anakaa pazuri. Si unajua Posta hamna makelele kama huku uswahilini kwetu eeh
Posta kubwa Mkuu, ni mtaa gani? Ni karibu na wapi? huko anakokaa kwa nyuma magari yanaruhusiwa kupita ikifika jioni?
 
Shida ni kwamba atabaki kuwa mchepuko tu maana posta pale pana mwenyewe.
Atleast angepata mtu kama bwana machache na yeye angekuwa kama mama wawili
kuna kuwa mchepuko na kuna anayekufanya mchepuko!

USICHANGANYE HIVI VITU DADYAAA!
usichanganye KABISA!
mana ni vitu viwili TOFAUTI!
 
hana uzuri huo..nimepigà sana miaka ya 2008,2011 akahudhuria ndoa yangu diamond jubilee bila kinyongo
 
Mademu wengi wakipigwa chini halafu jamaa yake akaoa mtu mwingine ukimuuliza kuhusu ex wake lazima awe mbogo.
 
Kwani unadhani anampenda mpaka awaze kuwa mama mwenye nyumba? Yuko kuchukua chake tu hapo babq hata aoe 100 hawezi kujali.
Kama hajajenga huu ndio muda sasa maana mzeebaba ni muhongaji mzuri tu, nakumbuka kuna mchepuko aliwahi kuuhonga ghorofa linalotumika kama hotel kipindi kile hajakaa kwenye kiti cha enzi, sema nini huu ubuyu mtamu tumstue Soudy Brown aunyapie basi[emoji3]
 
Weeeee. Soudy ana familia ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…