Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
ahaahahh acha tu nipo na komando kipensi wanguhahahahahahaha, mmenifurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaahahh acha tu nipo na komando kipensi wanguhahahahahahaha, mmenifurahisha
Ilikua ni setting nilikua natumia ya tigo badala ya halotel ndio mana nilikua najionea madesa
Sawa asante kwa mchango wako ila hawa ni wasanii watanzania na nyie watu kutoka nchi jirani mna haki ya kuwakubali au kutowakubali.Sijawahi kukakubali ka diamond wala haka ka kibakuli
Mbona yeye ana gundu kwa G.K maana G.K kila akitoa ngoma siku hizi zinadundaDiva ndo anasema huyu dada ana gundu kwa alikiba
Ni Kweli. Ni Kwelihaya matatizo yote aliyetusababishia Tekno
Ndio UshangaeKESHO UTASIKIA SISI HATUPENDI KIKI,UKIULIZA HIKI NI NINI UTASIKIA IMEJIPOSTI YENYEWE.
Kwani wamerudiana tena ?[emoji1] [emoji4] [emoji1]
Ntandao ulisumbua tena nini maana ulipotea jojo wangu
HANA JEURI YA KUBUNI NGUO.atakuwa anataka kumrudia kiba, maana hatupumui, kila siku kiba kiba sijui mauno yake sio ya stegini tu, nguo yenyewe aliyovaa fiesta ilikuwa mbaya, bora hata asingesema kaibuni yeye
Kipenda roho kula nyamba mbichi. Huwezi jua Jojo anampendea nini KibaJokate nampenda sana ila ananidissapoint kua na huy kijana..umeona kauli yake ya kua mashabik wa kiba embu tumlazimishe huy kijana afanye tour tz nzima !!!maan yake n kwamba alikiba amegoma so jokate anaomba msaada jamani ...
Alikiiba anamuangusha jokate..
Mmh nataman waachane jamani
HANA JEURI YA KUBUNI NGUO.
HahahaKwani wamerudiana tena ?