mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Huyu Ex Wa IPp
Anae matatizo
Aisee funguka mzee IPP you mean Mengi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ex Wa IPp
Anae matatizo
wanaume hawagombani wao kazi mbele ukiona mwanaume anapenda maugomvi na kuchukia chukia kama demu ujue huyo ni punga.
Uswahl tuuu wa ndomo umemjaa....atamnyoosha jojo kw lp?? Aende huko na standart seven yake
Uswahl tuuu wa ndomo umemjaa....atamnyoosha jojo kw lp?? Aende huko na standart seven yake
Kwa hili diamond hajafanya sawa..... what's the point of doing that? can he ever mind his business without getting involved na these ladies? u can take someone out of tandale but you can't take tandale out of him....... zero brain at some point... a wise n successful man won't behave that way. hayo mafanikio yaboost na uwezo wako wa kufikiri na kufanya maamuzi tabia za vigodoro u aren't there anymore.
Ni kunyooshwa tuu hakuna namna nyingine...Ni kunyooshwa tu
Mkuu jokate na wenzie walionywa mara ya kwanza hawakusikia,wakaonywa mara ya pili hawakusikia..Sasa hakuna namna nyingine ni kunyooshwa tuu!Uswahl tuuu wa ndomo umemjaa....atamnyoosha jojo kw lp?? Aende huko na standart seven yake
Don take it serious...Mbona hakuna ugomvi hapa! lakini mtu akionywa asiposikia hakuna namna nyingine ni kumnyoosha tuu.....Teh Tehmmh washabiki tuache kukuza mabifu , aloshinda hongera kwa kazi nzuri habar za maugomvi kwa wasanii ambao hata sura hawatujui sio issue
Teh Teh mimi nasema wanyooshwe tuu hakuna namna nyingine!mbona hakumposti Diamond kusapoti kupigiwa kura, analilia mahaba aliyopata ya wiki ya D anazenguliwa. Diamond uwa anaposti biashara yake na nyimbo akitoa mbona yeye alinywea wivu wa mahaba na kujirekodi na Bikra wakamtumia akaichunia na sasa ndio muda wakumuonyesha ni mnafiki mkubwa.
alienda redioni na magazetini kutafuta kiki eti kachangia Diamond asipate kura za ktma, ikaja MTV hakumsapoti hata kinukta leo analia lia asepe hukoooooooooo
Mahaba yapo kwa Zari.
Diamond na wakukome wape makavu live waache kukusumbua, ungeiposti hiyo Feb 2015 walipokutumia ungekomaje wangepata la kuongea endelea na akili zako na kazi yako.
mkome nyie shamboz kumtaja taja Chibu