Naamin hao wasanii wangestand na kutoa tamko la kuhamasisha upigaji kura kwa mondi hata team zao zingebadili direction na kumsapot MondiUmekwenda vzr ila hapo ulipowataja hao umewaonea sema team au washabik wao ndo walikua wanasapoti wasanii wa nje. Usiwaonee hao hawajawah kuhamasisha wampigie davido kura.
Mtoto wa Tandale ni watandale tu..very low!!! shame!!
Naamin hao wasanii wangestand na kutoa tamko la kuhamasisha upigaji kura kwa mondi hata team zao zingebadili direction na kumsapot Mondi
atuendipopote nasema na bado
mtaaa. Nyoookaaaaa kama sio simba
Mnyepe???
Duh... jina tata sana hili....
Lina uhusiano na nyapu???
Wataka kusaema kipindi mondi anapost dili la Jojo na wachina Jokate alimuomba mondi afanye ivo. Support ni muhimu haijalishi umeombwa au hujaombwa na ndo maana Kiba alilalamika alipoona hapat sapot alipopata dili la ubaloz wa temboWe jamaa acha kujisemesha, yan mtu frm no where upost tu et tumsuport flan wakat hakuna ambae hajui kuwa wasanii wanaombana suport we kama hauombi suport kwa msanii mwenzako akupost kwe a/c yake, hawez akapost tu manake akipost ataonekana anajipendkeza mfano mzur umeona bibie kacheza wimbo wa chibu tayar kashaambiwa mtanyooka tu, watu wanaogopa kujipendekeza kupost mfano ve money aliwaomba hawa na wakafanya hvo walimsuport japo ndo ivo hakuwin. Alafu tujiulize kwanini hao ali kiba, joket na wema kutokumpost chibu wanaonekana wanamsuport best male, wakat kuna wasanii kibao tu hawajampost chibu na hawalalamikiwi? Mfano komando jide. watz tusikuze mambo lazima tufike mahali tukubaliane kila kitu na protocal hujiendei tu ili mradi lazima ufuate utaratibu, lakin bado ali kiba alizungumza redion alisema kabisa ni vema kusuport vya nyumbani alipoulizwa kuhusu team kupiga kampen za kuvote wasanii wa nje. Mnataka wafanyeje zaidi ya hapo. Haya wema kwenye tv show yake kuwa na yeye hakuombwa kumpa suport mwenzie aliomba so usiwalaumu mkuu
Wataka kusaema kipindi mondi anapost dili la Jojo na wachina Jokate alimuomba mondi afanye ivo. Support ni muhimu haijalishi umeombwa au hujaombwa na ndo maana Kiba alilalamika alipoona hapat sapot alipopata dili la ubaloz wa tembo