Jokate: Diamond hana akili timamu

1st it doesn't make sense y umpe MTU Simu au account yako atumie ts private thing plus this is jf I guarantee hautamani hata rafiki yako ajue username yako so the guy is fu.cking lying
2nd read the 1st line fresh mpenz ni madudu yaleyale

Tatizo watu humu wanapenda sana kujionesha kuwa wao wako next level ili hali hatujuani.Sasa huyo na kingereza chake at the end anaumbuka
 

Licha kuwa na elimu ndogo, lakini angeweza kuwa na mtu anayesimamia kauli zake, kwa maana ya kujadiliana naye kwanza kabla ya kuongea na Media.

Hata Britney Spears alipoachana na Kevin Federline na kuwa kama kichaa, bado hakuwa akiongea upuuzi kwenye media, japo alikuwa mchafu hadi kunuka miguu na nywele zake kuwa na chawa.

Pia, si ana pesa sasa kama ambavyo anasema, kwanini asiamue kuelimika Kidogo, ikiwa elimu itamsaidia kuwa mstaarabu?
Ova
 

Mhhhh,nina swali kuhusu hili ila nitakuuliza chemba.Si unajua hapa umbea umbeani?
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Hii lugha gani wewe kijana? aisee unaweza kushitakiwa kwa kuchafua lugha ya malkia kwa maksudi au kwa kutokujua .
yaani hapo ka para kako hakana meaning kabisaa
 
Dogo kajitahidi kuwapanga, nakumbuka mwanzo Uwoya alitoa maneno ya shombo hivihivi mwishowe akavunja ndoa yake na huyuhuyu dogo, sasa nae tusijesikia kesho karudi tena kulekule!
 
Mbona nasikia yule Constantine Magavilla ni shoga? Kuna ukweli wa hili?
Aisee... we acha tu! Wengi ndivyo wasemavyo lakini kama ni kweli sijui hayo mambo kaanza nayo lini. Yule jamaa nimesoma nae kuanzia O-Level hadi A-Level lakini kwa kipindi chote hicho hakuwahi kuonesha hata dalili za kuliwa liwa hata element za kike hakuwa nazo!!!
 
Mwanaume Rijali hawezi ongea ----- kama huo , kweli Dimond unamguu wa mtoto lakini Risasi mpaka zikabustiwe ! acha kutafuta excuse !
Hivi nyie watu mnaosema kwamba Diamond hana uwezo wa kuzalisha mnatumia vigezo gani hasa? Hivi mmeshawahi kutumia japo dakika chache kuwatathimini aina ya wanawake anaokuwa nao?

Ngoja tuanze na Wema! Huyu kabla ya kuwa na Diamond amepita sehemu ngapi? Kwa watu aliopata kuishi nao ni pamoja na Kanumba, Charlz Baba na Mwinyi! Aidha, Mr. Blue nae alipta kabla hajakutana na na Chibu! Inasemekana hata TID nae kapita! Je, kote huko ameacha mimba ngapi? Kuna Clement....

Sasa turudi kwa Penny! Huyu nae kabla hajakutana na Chibu amepita kwa wanaume wangapi? What about Jokate? Manake wote hawa pamoja na kwamba wamekuwa wakimegwa miaka yote hii wala hatuwaoni wakishika mimba! Tukija upande wa pili... staili ya hawa wanawake ni ile ile ya kina Jack Wolper, Jack Cliff, Ant Ezekiel and the like! Hivi ni nani miongoni mwa hao unayemuona ana interest ya kuwa na familia na kuyaacha maisha ya ujana?

There's no way kwamba hawa tangu walipoanza kuachia kikapuso kwa kila mwenye pesa lakini wasishike mimba... ni kweli Diamond ni mropokaji lakini kauli yake inaonesha ina ukweli ndani yake... ni wachiropoaji wa mimba hawa!!! Hawa wote wana uzoefu wa kugongwa na wanaume mbali mbali wengine tangu washiriki Miss Tanzania 2006... almost 8 years now... hata kajimimba kidogo???!!!!
 
amesema kilichoujaza moyo wake jamani akili tena imefanyajeee
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Kheee kheeee kheeee.. Hata kama unatafuta umaarufu jukwaani, sio kwa design hii....duh..
 
Mavi matupu..wewe umeandika kirumi hiki au kimasai?

ahahhh na wewe kirumi ndo wanaandikaga ivi? ebu usinichafulie lugha ya kikwetu mie... happy new year
 
i think i know uuuu

kuna movie ya kibongo inaitwa hivyo kaigiza hemedy na mlela... yani siku izi kuna majina ya bongo movie ya ajabu kweli... nyingine inaitwa utamu wangu na ntakuja kesho....kwa hali hii tutafika kimataifa kama sio kidunia kabisa
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

eeeh Dinazarde naona mwak 2015 umeanza kineema neema ebu njoo uone mambo uku, chezeya lugha ya malkia
 
Last edited by a moderator:
Aisee wamekusimanga hadi basi yaani... lakini nimecheeeeeeeki, nikagundua umejitahidi somo manake maneno yote ni ya kidhungu... anaebisha mwambie akutajie angalau neno moja la kiswahili hapo!

binamu yangu Kigogo kasema hko ni kirumi so hajakosea huyo
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilitaka kukupa reputation ili kukuinspaya ukajisomeshe kizungu kama mr dangote. Pole, gadget yangu imenifitini
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
 
Ooohhh come on buddy!.
You are embarrassing yourself.
I would have kept quite if i were u after the first post.

I feel shy for this post ya binamu yangu assehh.. yani najiona kama ndo mimi nimeandika... nimempenda bure Yohana Mazengo.. keep on trying cuzoo, practise makes perfect
 
Last edited by a moderator:
Pdidy,Shyland na Yohana Mazengo wanajiamini kwa kila wanachokiandika. Ajabu ni kwamba wanakushangaa wewe unayewakosoa,yani kwamba wewe ndiye hujui.

i love the confidence... dah yani napenda sana anavyojiamini.. may be anadhani jf ni ya watu wachache mno na wote wapo kama yeye, kumbe humu kuna hadi na professor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…