Jokate: Diamond hana akili timamu

Jokate: Diamond hana akili timamu

Alivyosemwa sana ndio akadai ile post ya kwanza hakuandika yeye ila rafiki yake ndio aliyeandika kwani hawezi kuandika kitu wakati yeye mwenyewe hawezi kuelewa

Yohana Mazengo katufungulia mwaka kwa style ya aina yake aseeh mi nimempenda kwa kweli, inabidi aingie kwenye club yetu ya maubuyu anafaa sana kwa kweli maana itakuwa shidaaa
 
Last edited by a moderator:
I feel shy for this post ya binamu yangu assehh.. yani najiona kama ndo mimi nimeandika... nimempenda bure Yohana Mazengo.. keep on trying cuzoo, practise makes perfect

Hahahaaaaa:sly: ts tru Practise makes perfect sawa na unapokosea kubali kusahihishwa lakini huyu binamu yako bana yeye hataki kabisa kukosolewa anajifanya siyo yeye.
Wote tunajua english is our third language hatupo sawa kwenye hii lugha.
 
Last edited by a moderator:
Sawa... jibu hoja basi! Hao akina Wema, Jokate, Wolper, Penny & Co ambao hawajaanza jana wala juzi kumegwa... na wote hao, kabla ya kukutana na Chibu walikuwa na wanaume wengine na sasa wana wanaume wengine! Swali: Je, wana watoto wangapi kutoka huko kwingine wanakomegwa? Jibu kwanza hilo swali ndipo hoja yako inaweza kuwa na logic coz' am sure sio wewe wala yeyote ambae amewahi kumpima Chibu...

psychology inasaidia sana kujua jinsi ya kusoma au kuelewa mind ya mtu, kwa mda mrefu diamond amekuwa akilalamika kuhusu kutaka mtoto lakini hapati, watu wazima tunaelewa tu bila hata ya kumulika na torch.
 
Zari ana watoto watatu.
 
psychology inasaidia sana kujua jinsi ya kusoma au kuelewa mind ya mtu, kwa mda mrefu diamond amekuwa akilalamika kuhusu kutaka mtoto lakini hapati, watu wazima tunaelewa tu bila hata ya kumulika na torch.
Mpwa na wewe... swali rahisi lakini naona unaruka ruka tu...
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

Mh. Mulugo katuharibia kabisa kizazi cha kesho.
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
chefuuuuuuuuuu
 
chonde chonde msisome hii post !inasababisha migraine! mi ni hoi hapa!
 
Wacha ujinga wewe mimba inaingia miaka kumi au siku moja tu?
Thank for the compliment lakini asiye mjinga hawezi kufikiria kwamba, huyo Zari akishakuwa na mimba ndo ataambiwa yeye! Lakini ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa mwanaume kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzake ni aibu... tena ni aibu kweli kweli! Hebu assume upo kwenye real world umekaa na wanaume na wanawake... hivi mwanaume mzima unaanzaje kusema kwamba mwanaume fulani hana uwezo wa kupiga mimba? Haya mambo tuwaachie watu kama akina geniveros... ambao hata wakisema kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba, siku wakiambiwa kwamba wapeleke kama hawajipigwa ujauzito, with confidence wanaweza kujibu siwezi kumpa mwanaume asiye na uwezo wa kupiga mimba! Sasa mwanaume kama wewe ukiambiwa kampe kama hajakupiga mimba sijui utajibu nini... matokeo yake utataka kurusha ngumi!!!!
 
we chige weweeeeee.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom