Alivyosemwa sana ndio akadai ile post ya kwanza hakuandika yeye ila rafiki yake ndio aliyeandika kwani hawezi kuandika kitu wakati yeye mwenyewe hawezi kuelewa
I feel shy for this post ya binamu yangu assehh.. yani najiona kama ndo mimi nimeandika... nimempenda bure Yohana Mazengo.. keep on trying cuzoo, practise makes perfect
Sawa... jibu hoja basi! Hao akina Wema, Jokate, Wolper, Penny & Co ambao hawajaanza jana wala juzi kumegwa... na wote hao, kabla ya kukutana na Chibu walikuwa na wanaume wengine na sasa wana wanaume wengine! Swali: Je, wana watoto wangapi kutoka huko kwingine wanakomegwa? Jibu kwanza hilo swali ndipo hoja yako inaweza kuwa na logic coz' am sure sio wewe wala yeyote ambae amewahi kumpima Chibu...
kwa nini binamu
Sawa... jibu hoja basi! Hao akina Wema, Jokate, Wolper, Penny & Co ambao hawajaanza jana wala juzi kumegwa... na wote hao, kabla ya kukutana na Chibu walikuwa na wanaume wengine na sasa wana wanaume wengine! Swali: Je, wana watoto wangapi kutoka huko kwingine wanakomegwa? Jibu kwanza hilo swali ndipo hoja yako inaweza kuwa na logic coz' am sure sio wewe wala yeyote ambae amewahi kumpima Chibu...
Mpwa na wewe... swali rahisi lakini naona unaruka ruka tu...psychology inasaidia sana kujua jinsi ya kusoma au kuelewa mind ya mtu, kwa mda mrefu diamond amekuwa akilalamika kuhusu kutaka mtoto lakini hapati, watu wazima tunaelewa tu bila hata ya kumulika na torch.
Sijamtaja Zari kwenye post yangu coz' it's too soon to evaluate their relationship...Zari ana watoto watatu.
Sijamtaja Zari kwenye post yangu coz' it's too soon to evaluate their relationship...
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
chefuuuuuuuuuuWhat's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
TehTeh! yohana Mazengo atakuwa Mtoto wa Mkulima Mazengo!Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThought
chonde chonde msisome hii post !inasababisha migraine! mi ni hoi hapa!What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
TehTeh! yohana Mazengo atakuwa Mtoto wa Mkulima Mazengo!
happy new yeah cuzoo
Thank for the compliment lakini asiye mjinga hawezi kufikiria kwamba, huyo Zari akishakuwa na mimba ndo ataambiwa yeye! Lakini ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa mwanaume kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzake ni aibu... tena ni aibu kweli kweli! Hebu assume upo kwenye real world umekaa na wanaume na wanawake... hivi mwanaume mzima unaanzaje kusema kwamba mwanaume fulani hana uwezo wa kupiga mimba? Haya mambo tuwaachie watu kama akina geniveros... ambao hata wakisema kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba, siku wakiambiwa kwamba wapeleke kama hawajipigwa ujauzito, with confidence wanaweza kujibu siwezi kumpa mwanaume asiye na uwezo wa kupiga mimba! Sasa mwanaume kama wewe ukiambiwa kampe kama hajakupiga mimba sijui utajibu nini... matokeo yake utataka kurusha ngumi!!!!Wacha ujinga wewe mimba inaingia miaka kumi au siku moja tu?
Thank for the compliment lakini asiye mjinga hawezi kufikiria kwamba, huyo Zari akishakuwa na mimba ndo ataambiwa yeye! Lakini ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa mwanaume kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzake ni aibu... tena ni aibu kweli kweli! Hebu assume upo kwenye real world umekaa na wanaume na wanawake... hivi mwanaume mzima unaanzaje kusema kwamba mwanaume fulani hana uwezo wa kupiga mimba? Haya mambo tuwaachie watu kama akina geniveros... ambao hata wakisema kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba, siku wakiambiwa kwamba wapeleke kama hawajipigwa ujauzito, with confidence wanaweza kujibu siwezi kumpa mwanaume asiye na uwezo wa kupiga mimba! Sasa mwanaume kama wewe ukiambiwa kampe kama hajakupiga mimba sijui utajibu nini... matokeo yake utataka kurusha ngumi!!!!
mnh! aise we leo unanichimba mabiti hadi utanifanya nitoke nduki... mara ya pili hii leo unanipiga mkwara... nimefanya nini jamani??!!!we chige weweeeeee.....!!!