BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hawajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ni kwa nini nguvu kubwa sana inatumika ktk kutangaza kuwa fomu ya mgombea Urais itakuwa moja tu??? Why?Na kwa nini iwe fomu moja tu! Kwa akili na mitazamo ya aina hii, haihitaji mtu kuwa na akili nyingi kugundua ya kuwa hata ndani ya hiyo ccm yenyewe hakuna kitu kinachoitwa demokrasia.
Kupita bila kupingwa maana yake ni hakuna kupigiwa kura ndani ya Chama !Hupita bila kupingwa baada ya kupigiwa kura au kwa kupewa.....??
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi.
Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
View attachment 2969589