Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

Na kwa nini iwe fomu moja tu! Kwa akili na mitazamo ya aina hii, haihitaji mtu kuwa na akili nyingi kugundua ya kuwa hata ndani ya hiyo ccm yenyewe hakuna kitu kinachoitwa demokrasia.
Kwanza ni kwa nini nguvu kubwa sana inatumika ktk kutangaza kuwa fomu ya mgombea Urais itakuwa moja tu??? Why?
Kwa sababu ktk hali ya kawaida 'chema huwa chajiuza chenyewe na kibaya huwa chajitangaza na kujitembeza.'
 
 

Attachments

  • IMG-20240806-WA0047.jpg
    49.3 KB · Views: 1
Uchaguzi maana yake ni kushindanisha wagombea wawili ili apatikane aliye bora zaidi. Sijui CCM inaogopa nini kila siku mnasifia NANI KAMA MAMA YEYE ila uchaguzi fomu iwe moja.
UDIKTETA MTAACHA LINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…