Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

Sasa sisi inatuhusu nini maisha ya mtu?
Watoto wake wanatuhusu nini labda?
Watu wangapi wana watoto mbona haujaongelea
Watanzania tufanye kazi mengine ni umbea bhana
 
Wewe ni mshauri rika?
 
Samahani kiongozi. Mshauri rika ni mshauri gani? Umeniacha kando kidogo.
Mtu/ mtaalamu wa kushauri na kunasihi ambaye rika lake linalingana (halitofautiani) sana na wale anaowashauri
 
Aunty Ezekiel tu kuna wakati anachokozwa na mzazi mwezie Iyobo sasa sipati picha Jokate atakavyosumbuliwa na wanawake watatu wa Kiba, labda wawe wastaarabu tu
 
Kweli akili ni nywele.watoto watatu?? Hakajaoa, tena labda kila mtoto na mama yake!!!na hakajajenga kalisema???kanatiana tuu..
sio labda kila mmoja na mama yake, ni kwamba kila mtoto ana mama yake. Ngoja jokate nae amzalie wa nne maana soon utasikia keshapachikwa mimba
 
wanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
Kumlinganisha Bosslady na Jokate/Kiba ni kulinganisha kifo na usingizi. Bosslady can manage hao watoto bila hata Mondi kusaidia, Jokate au Kiba hao watoto watatu siwajui lakini ni ili mradi liende
 
dah watu wana mambo sasa maisha yao we yanakuhusu nini? muoe basi wewe ili umuondolee hiyo shida ambayo unadhani ataipata kwa Kiba
 
Kumlinganisha Bosslady na Jokate/Kiba ni kulinganisha kifo na usingizi. Bosslady can manage hao watoto bila hata Mondi kusaidia, Jokate au Kiba hao watoto watatu siwajui lakini ni ili mradi liende
Huyo Bosslady anajishughulisha na nini kinacho muingizia kipato?
 
Ulichokiandika ni sawa Kama umetema sumu.
 
Kwani hao watoto mpaka awalee Jojo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…