Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

Kaolewe wewe ambae hujatoa mimba na uwezekano wa kuolewa haupo!
 
Aunty Ezekiel tu kuna wakati anachokozwa na mzazi mwezie Iyobo sasa sipati picha Jokate atakavyosumbuliwa na wanawake watatu wa Kiba, labda wawe wastaarabu tu
Kuna yule mmoja ambaye amezaa na Kiba mtoto pekee wa kiume anaitwa mama Sameer!!ana msambwanda wa hajaa,lizuri hilo lidada wacha kabisa!!halafu ni dada wa kihaya wa mjini haswa!

Halafu anamsapoti kiba balaa,yaani wala hajali kama Kuna Jokate atakasirika[emoji38]!!anamposti kiba kwa kwenda mbele wala hajali...halafu ni muangahikaji,.Yule dada Alikiba atakuwa anatembea nae mpaka leo
Kwasababu hana wivu wala ushamba yule dada[emoji38][emoji38]..yule ndio itakuwa anakula na Jokate sahani moja.

Ni mzuri wa shape Jokate anasubiri..
 
Mkuu ungetupia picha yake ingekuwa poa!
 
<<< Mapenzi babaa upofu ww utaimba mashairi hapaaaaaaaa wenzio wanajilia vyao tuu >>
 
Mwanaume wa Dar
 
Mtoa mada, wewe utawaweza watoto wa Ally K? Vipi na Ally K mwenyewe, utamuweza?
 
toka nikufahamu nifah hujawahi kunidisapoint kwenye comment zako kwenye jukwaa zote...inaonekan we ni msomi sana big up sana.
 
toka nikufahamu nifah hujawahi kunidisapoint kwenye comment zako kwenye jukwaa zote...inaonekan we ni msomi sana big up sana.
Shukraan sana mkuu [emoji120].
 
ww mbea halafu utakuwa dume tu umejificha nyuma ya smartphone yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…