Jokate: Kuachana na Hasheem Thabeet kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kutokea kwangu

Jokate: Kuachana na Hasheem Thabeet kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kutokea kwangu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Hasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate
Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda
kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi
kuwahi kutokea katika maisha yake.
1477638978207.jpg


Mrembo huyo alikuwa akijibu swali la
PapiChulo_Chuly kwenye Twitter aliyeuliza, “Ni
tukio gani baya huwezi sahau maishani?”
“Kumwacha mtu ambaye nilikuwa nishapanga
vitu vingi sana nae kichwani. Very very
disappointing but it’s life,” alijibu Jokate.

October 2013, kwenye jarida la Vibetz,
alifunguka kuwa japo uhusiano wake na
Hasheem ulidumu kwa miaka mitatu,
walifanikiwa kuufanya usijulikane sana kwa
wengi na walikuwa wakipendana sana.

“With Hasheem, I think it was more than love.
He was my first real love,” aliliambia jarida hilo.
“Siku zote nilidhani he was my soulmate.
Kiukweli nilimpenda sana. He is like the only guy
I would drop anything at anytime for.

Nilikuwa tayari kufanya lolote kwaajili yake, that’s how
deep I loved that guy,” aliongeza.
“Nilimpenda kiukweli Hasheem, and yes kama
mwanamke mwenye kutaka kufanikiwa I’m
drawn to ambitious/successful men, you know
the go getters but my family haikunilea katika
maadili ya kujenga mahusiano yoyote katika
mhimili wa fedha,”

Jokate alieleza kujibu swali
kama aliamua kuwa na Hasheem kwasababu ya
fedha zake. “I had never wanted to use
Hasheem, all I wanted was to love him.”
Jokate alidai kuishi mbali na Hasheem ni moja
ya sababu iliyochangia kuvunjika kwa uhusiano
wao.

“Yes kuishi mbalimbali pia inaweza kuwa sababu
japo ndogo iliyochangia kuvunjika mahusiano
yetu cause sometimes I would hear a lot of stuff
and that would upset me. Nilikuwa naogopa
sana kumpoteza, I ended up doing vitu vya
kijinga kama dating Diamond.

I had issues with Hasheem na Diamond came in picture. It was a
very frustrating time for me. I was super
confused. I cried for a whole year. Like every
night I would just cry like crazy.”
Kwa sasa Jokate ana uhusiano na Alikiba.
 
Kiba akisikia anajisikiaje? ila hawa kwa movie huchelewi kumsikia akisema Zari ndie namfeel zaidi na ndio maana nimeamua kumpa mimba aliyonayo sasa hivi... na Mwache Mondi anichukie tu maana nilichomfanyia kimempata... Maana ukisikia paa ujue
 
Kujutia kuvunjika kwa mahusiano yako yaliyopita wakati upo na mwingine kwa sasa, ni kosa ktk kanuni ya mapenzi,tena mbaya zaidi analiongelea hilo hadharani.
Kuna baadhi ya watu sku hapa bongo,wanajfanya wanauzungu kuwa hawawez kufcha kilichoko moyon
 
Kwa hiyo kwa maana nyingine ni kwamba amemiss mkuyati wa ngongoti.
 
A Superstar prospect in the NBA that never was................................The DC born girl made a smart move....too bad things never turned out as expected.
 
First love akiwa na maana ndio mwanaume wa kwanza aliyempenda wengine hakuwapenda au first love anamaanisha ndio jamaa kavumbua mgodi ?

Kama ni swala la mgodi hapo anatudanganya watu wazima
Anyway ndio maisha ya masupataa wa Bongo kila kitu ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom