cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Tatizo alipo haoni utamu wa pesa, bali yeye kutumia zake kushikilia penzi kumbe feki. Anatafuta tiketi ya kurudiwa, ni mkosi huyu mwanamke.
Haiwezekani amuongelee mwingine kiueazi hivi, kama angekuwa na furaha sana kwa mengi na aliyenae sasa. Wanatatizo, bidada hahudumiwi anavyotaka na Mondi ndio nae yuleeeeeeeee