Jokate kuijengea uwanja wa michezo shule ya sekondari Majani ya Chai

Jokate kuijengea uwanja wa michezo shule ya sekondari Majani ya Chai

Hivi hiyo kampun ya kidoti inajihusisha na nini
 
Hivi hiyo kampun ya kidoti inajihusisha na nini
Inajihusisha na kidot hair,anatengeneza wiving,wigi za kuvaa,vibanio,rasta kifupi anajitahid na nywele zake zimesambaa sana kila sehem hivyo yupo vizur nampongeza kwa hilo kathubutu na kaweza.
 
Afadhali wamemwalika Kidoti mgeni rasmi kuliko RC wa arachuga fyatu
 
Labda Mzindua Chupi Atashonea Wanafunzi Wote Chupi Akiitwa Kwenye Mahafali. Lets Wait And See!
 
Nashangaa sana hizi shule badala ya kualika watu wa maana wanaalika huyo, sasa hapo watoto wetu wanajifunza nini?jokate ndiyo awe role model wao?
Watu wa maan ndo wepi hao? Na kwa nini unadhani Jokate si mtu wa maana?
 
Back
Top Bottom