Jokate kutumia mil 18 kuongeza kidoti cha pili

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B.
Jokate alidai sura yake ni kama mizani yaani kila kitu kilicho upande wa kushoto lazima kiwe na mwenzake upande wa kulia,so does kidoti,Jokate amesema kidoti hicho kitakuwa upande wa kulia ambapo amesema kitakuwa na radius ya nusu inchi (na diameter ya 1 in) wakati huo huo kidoti hicho kitakuwa na surface area ya 0.785 sq in wakati circumference itabaki kuwa 3.14 in.

Jokate alidai asilimia 50 ya gharama hizo atatumia fedha za ndani (zake) wakati asilimia 50 atatumia fedha za wafadhili (kiba).Jokate anategemea kundoka nchini trh 10 na kurudi trh 18.

Kila la kheri dada Jokate
 
Jinsi unavyowasilisha habari yako tu ndio ninachokipendea, nasikia Hasheem Thabit yupo mjini anaweza kuwa ni mdhamini wa nyongeza.
 
Huyu mwanamke kuna kipindi aliheshimika sana ila ghafla akapoteza heshima. Sijui kwa nini?
 
Kwahiyo hawezi kuitwa Kidoti tena, itabidi aitwe Vidoti.
 
umesema circumference itabak 3.14, kwann asiongeze kdg ifike 5.83
 
Hahahaha..........we jamaa balaa,kumbe hata kuandika ki'Mathematics' uko vizuri
Surface area=3.14D^2/4
Circumference=3.14D
Umetisha Mkuu, fanya mpango Shigongo akuajiri tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaha..........we jamaa balaa,kumbe hata kuandika ki'Mathematics' uko vizuri
Surface area=3.14D^2/4
Circumference=3.14D
Umetisha Mkuu, fanya mpango Shigongo akuajiri tuπŸ˜€πŸ˜€
Jamaa ni hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…