Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Pesa watoto wa Kike wanataka PesaKwani huyu Ana nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa watoto wa Kike wanataka PesaKwani huyu Ana nini??
Jamaa naona atakuwa ana PHD kwenye mambo ya habari na mawasilianoJamaa ni hatari...
Circumference =pie?? Formula ya wapi hiii mkuuu...circumference itabaki kuwa 3.14 in= 22/7=pie
Ni nani huyo kwan?mbona mi Ni jike lakin sipendi pesa? Na kwanini wanapenda pesa? Na umejuaje kama wanapenda pesa?Pesa watoto wa Kike wanataka Pesa
i mean value and not formula. soma post yake kwanzaCircumference =pie?? Formula ya wapi hiii mkuuu...
Coz kuna dem nimetongoza akasema ye ana Tamaa sana so bora nitafute mwingine kama we huna tamaa safi sana Unanifaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12]Ni nani huyo kwan?mbona mi Ni jike lakin sipendi pesa? Na kwanini wanapenda pesa? Na umejuaje kama wanapenda pesa?
we utakuwa mwanaume WA Dar Tu, aka chips Yai, aka kamoja Tu, looh sitokuweza mkuuCoz kuna dem nimetongoza akasema ye ana Tamaa sana so bora nitafute mwingine kama we huna tamaa safi sana Unanifaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12]
Cpo Dar wewe acha kukariri wewe Sasa suala la chips linahusiana vp haha we nawe unachekeshawe utakuwa mwanaume WA Dar Tu, aka chips Yai, aka kamoja Tu, looh sitokuweza mkuu