Jokate: Mimi sio malaya

Jokate: Mimi sio malaya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi .

Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli .

"Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi , sina jinsi, " alisema Jokate.
 
Atoe shauzi lake naye kwani ulaya ndo nini alivo na damu ya kunguni hadumu nao wanaume wenyewe hawana mbele wala nyuma anaodate
 
Mkarimu huyo ukiwa na shida anakusaidia
 
Inawezekana sio malaya ila juhudi zake za kutaka kuwa kama Rihana ndio zinamponza.
 
aende zake umalaya tu

Atoe shauzi lake naye kwani ulaya ndo nini alivo na damu ya kunguni hadumu nao wanaume wenyewe hawana mbele wala nyuma anaodate

Achana nae huyo anatabia ya kujipendekeza kwa dada yake na rafiki yangu mmoja ambaye huyo dada yake anaishi UK...yaani siku akirudi bongo anamganda balaa..alijipendekeza hadi akawa mmoja wa maids kwenye harusi yake...ptuuu
 
Kweli inaonyesha ni tabia yake tangia ajipendekeze kwa domo akamtumia na Ku mdapu kanitoka ka ushuzi wangomani
 
Achana nae huyo anatabia ya kujipendekeza kwa dada yake na rafiki yangu mmoja ambaye huyo dada yake anaishi UK...yaani siku akirudi bongo anamganda balaa..alijipendekeza hadi akawa mmoja wa maids kwenye harusi yake...ptuuu

jokate elimu yake haijamsaidia hata kidogo
 
Back
Top Bottom