Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Inawezekana siyo sheria lkn kiustaraabu siyo vizuri kabisa. Kupata mimba bila mume kwa Afrika yetu na kidini ni chukizo. Tunaomba viongozi tuwe na haiba. Jamii inamchukuliaje sasa?
Wewe unajuaje Kama hana mume na hajafunga ndoa?
 
Wewe unajuaje Kama hana mume na hajafunga ndoa?
 
So far ni maamuzi yake
So zile nyepesi nyepesi ni kweli
Hongera kwake

Ila mwamba katuwakikisha vema
 
Niliwahi kusikia Mzee Wake ni Mchungaji.... !
Kama ni hivyo anamuaibisha.. Akamatwe afungishwe ndoa Na huyo aliyempachika Mimba..! Kwa Shuruti.

Mtaani tunaita ndoa mkeka.
Acha uongo..
Hayati Mzee Ndunguru hakuwahi kuwa mchungaji Bali muumini wa katoliki
 
Hadi kubeba mimba mnataka kumpangia! wabongo bana
 
Nadhani hayo ni maisha yake personal.....Hata akibeba mimba bila kuolewa haiingiliani na serikali
 
Safi sana naona wanaume wanaendelea kutekeleza makubalia o yetu ya kikao kwamba; no kuoa ni kugegeda na kutia mimba tuu🤣🤣🤣🤣
 
Hii inakuhusu nini? kwahyo km ni kiongozi hatakiwi kuwa na maisha yake binafsi? Tuache sumu nakufatilia maisha ya watu.
 
Nadhani swala la ndoa, mahusiano, ujauzito, uzazi, watoto, ni la kibinafsi zaidi ndugu mleta mada.
Mkuu pendaeli ubinafsi hapo upo wapi wakati tendo hilo linaonekana hadharani na
halina baraka ya Mwenyezi Mungu na wewe ni kioo cha JAMII
 
Nakubaliana na ww, lakini yeye kwa nafasi ya Utumishi anayoitumikia anatakiwa kuwa mfano kwa wananchi wake, mkuu wa wilaya anaishi kama bachelor, haileti picha nzuri kabisa.
We bwana vipi mbona unakomaa na vitu siyo vyako umeambiwa katege ubebe na wewe,monyo!!
 
Sioni tatizo Bora huyu Hana ndoa

Kuliko yule cheupe dawa alijazwa mzilaNKENDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…