Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoz
Jamani ndoa sio kuwa ndio ultimate state of life of human being.kama kwako Ni big deal Kuna wenzako they give a faki about it Cinderella. Keep it low please. Think how Tanzania will about 200yrs to come. What foundation have you laid to your generation. Africans kuoa/kuolewa is the most cheapest business that we afford easily even hens marry to each other.
Sasa alazimishe outcome. Unadhani yeye hafaki any man,so amefak akapata mimba aitoe na umri umeenda. Kamuoe Sasa Mana men are inferior to such kind of Ladies in afrika.
Yaani unaona ndoa Kama sijui Nini. Kwani mahusiano yako ndio yanatokuongoza ama Ni kichwa chake.
 
Mleta mada mbona kama una mwonea wivu Jokate kubeba mimba.?
Kuna sheria ya utumishi wa umma inayokataza mwanamke kuwa na mimba bila ndoa? Yeye mwenyewe ni mkuu wa wilaya unajuaje kuwa amejifungisha ndoa kimya kimya?
Kama nawe unauhitaji wa mimba tafadhali njoo PM nakuahidi kuihudumia mimba yangu kwa kila kitu.
 
Kwa kweli mpe mimba atulie🤣
 
Mamlaka ya uteuzi,tunauliza kuhusu utaratibu? Hakuna uvunjifu wa maadili ya utumishi wa umma?
Huyu DC amekosa mume wa kumuoa au wamefunga ndoa ya kimya kimya?

Kama hajavunja maadili ya utumishi wa umma, lakini zinaa ni mmomonyoko wa maadili kidini
 
Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi ameiga tabia mbaya ya Mama Getrude Mongela na Mama Anna Makinda.​

Kuoa ama kuolewa ni uamuzi wa mtu, wapi inasema kisheria lazima uwe ndani ya ndoa ndiyo unbebe Mimba?

Halafu kesho wewe unakuja kulalamika why Tz ni maskini, wakt unahangaika na ishu binafsi za mtu tena anayefanya vyema kwny Wilaya yake kupita Ma DC kibao.

Ni mwanadamu ana mambo yake binafsi, anajua anachifanya wewe shida yako ipo kwny nn?
 
Halafu unaweza kukuta wewe unaelalamika ni mwanaume kabisa, apate mimba jojo uanze kulalamika wewe nchi hii ngumu sana, haya kamuombe aliyempa mimba akupe wewe usie kiongozi wa umma,
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.

View attachment 2290818
Kupata ndoa nyakati hizi ni ngumu wanawake wanaishia kuzalishwa tu wapambane na hali zao huko 🤣🤣
 
Japokuwa siyo sheria ila ni sahihi kuwa siyo mfano mzuri. Kiongozi ni mfano....

Hata hivyo tujadili mada zingine mkuu maana nchi yetu ina changamoto nyingi z kujadili. Eg namna ya kukabiliana na inflation nk
 
Mimba ni ushahidi tu kuwa condom haikutumika, hayo mengine ni nadharia tu ya kuwa mwema ambayo ni wale wanojitia uadilifu uwakandamiza wenzao. Na huyo huyo unaweza ukakuta anafurahia mimba ya ng'ombe na kutamka maneno ya kashfa akiona mimba ya binadamu
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.

View attachment 2290818

A typic clown, mind your business. Utakuta huyu takataka hata hela kula hana, ila ana muda wa kumuongelea jokate
 
Nadhani swala la ndoa, mahusiano, ujauzito, uzazi, watoto, ni la kibinafsi zaidi ndugu mleta mada.
Ni kweli ni la kibinafsi lakini haikwepeki watu kukusoma kuwa umefeli katika maadili kama ukizaa nje ya ndoa na haileti afya kwenye uongozi!! Utawashaurije mabinti kama wewe yamekushinda?
 
Back
Top Bottom