Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Wabongo bwana.. tuna shida sana. Agongwe mwingine, af akatike na kulia mwingine.
U DC sio life long job, lazima maisha mengine yaendelee. Besides, sidhan kama yeye kuzaa ina tatizo lolote. Af pia ndoa sio matangazo, kama kaamua kufunga kwa siri tutajuaje?
Af pia unafki n mbaya. Mbona yule DC aliemuacha mumewe haukusema anavunja maadili ya umma pia? Maana yule alieenda kuolewa mke wa pili ana tofaut gan na mla rushwa?
Relax bro, komaa na maisha yako. Unaeza kuta unaishi hukoo ifilandama lakn unahangaika na mambo ya temeke.