Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo?kiongozi tuanzie hapo kwanza
 
Mwanamke akizaq bila ndoa anajesabika kuwa ni muhuni katika jamii yetu. Ina maanisha anaweza kwenda na mtu yeyote hata mume wa mtu. Sasa haya mambo gani kwa kiongozi ambaye anatakiwa kusimamia maadili
Muhuni tu, Malaya, Tena kwa waroma kazaa kalokotwe,
 
Huyu DC ni mzinzi sana amekuwa akiwa na tabia za uzinzi, DC wa hivi akisimana mbele yangu naona kichefu chefu kabisa, haiwezekani niongozwe na kiongozi malaya.
Kiongozi malaya ni huyu tu tz hii 😀😀😀
Mbona na ww unakuwa mnafiki
 
Kwan kuna tatizo? Vip ungesikia kafanya abortion?
Ayo ni maamuzi yake binafsi kila mtu ana vipaumbele vyake, wenda ndoa sio kipaumbele chake kwa sasa zaidi ya mtoto
 
Kwa maadili ya mtumishi wa umma especially kiongozi mwandamizi hakutakiwa kuwa kazini. Maana amevunja miiko ya uongozi wa uma. Na hakutakiwa kupewa wadhifa bila kuwa na cheti cha ndoa.

Ila kwasababu tumeamua kuishi kung'ombe ng'ombe wacha iwe hivi ilivyo, tutakuja kujifunza kwa gharama maana maneno ya hekima au busara huwa hatuyaelewi hata kidogo.
Mambo ya jiwe kuwapa watu wasio na ndoa vyeo


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwan kuna tatizo? Vip ungesikia kafanya abortion?
Ayo ni maamuzi yake binafsi kila mtu ana vipaumbele vyake, wenda ndoa sio kipaumbele chake kwa sasa zaidi ya mtoto
Unao uhakika wa kwamba hajawahi kufanya abortion?
 
Unao uhakika wa kwamba hajawahi kufanya abortion?
We umeelewa vibaya, mm sijazungumzia kama hajawai au amewai kufanya hapo kabla. Nilicholenga ni wakati huu wa uongozi wake vip ungesikia taarifa kuwa mkuu wa wilaya kafanya abortion makusudi ?
 
hatuna nchi ya hivyo unavyowaza,unachofanya ni kuingilia uhuru binafsi wa mtu,pia kuna aina tatu za ndoa na zote zipo kisheria lakini suala la kuoa ama kuolewa ni too personal,jifunze kutofautisha taasisi za umma na taasisi za kidini
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.


View attachment 2290818
Ndoa kafunga kimnya kimnya bomani
 
We umeelewa vibaya, mm sijazungumzia kama hajawai au amewai kufanya hapo kabla. Nilicholenga ni wakati huu wa uongozi wake vip ungesikia taarifa kuwa mkuu wa wilaya kafanya abortion makusudi ?
Iwe kabla,baada au wakati huu,ngono, abortion ni vitu vya siri.Usidhani anavyoonekana kabeba mimba,ukadhani alizini maramoja.
 
Back
Top Bottom