una uhakika?Umri wake n 32 anazeeka sasa.... napata mashaka na hili jarida..
Prof hadanganyi broo.....una uhakika?
Una uhakika ana miaka 32 una kadi yake ya clinic???Umri wake n 32 anazeeka sasa.... napata mashaka na hili jarida..
Sasa unabisha....Una uhakika ana miaka 32 una kadi yake ya clinic???
Yale yale ya kina Jackline Mengi, kibiashara kinaanzishwa jana - leo kinatambuliwa na Forbes africa.Mjasiriamali jokate Mwegelo almaarufu kama Kidoti ametajwa katika orodha ya jarida la Forbes ya wajasiriamali 30 wa Afrika wanaofanya vizuri wenye umri chini ya miaka 30.
My take: Hii ni hatua nzuri kwa juhudi alizoonesha kwenye ujasiriamali wake. Vijana wengine tuige mfano wake tupambane bila kuchoka.
Ndio nabisha njoo na evidence.....Sasa unabisha....
Mzee biashara zipo nyingi. Usishangae sana. Anaweza kuwa ni mjasiriamali wa mwili wake.Yale yale ya kina Jackline Mengi, kibiashara kinaanzishwa jana - leo kinatambuliwa na Forbes africa.
- Anafanya biashara gani serious ?
- Kampuni yake inaitwaje ?
- Kaajiri watu wangapi na ulipaji kodi wake ukoje ?
UJINGA MTUPU na vikampuni vya mfukoni kama WEUSI hata ofisi hakuna
- Kama Forbes wataendelea kumwamini MFONOBONG NSHEHE ( Forbes Africa Under 30 ) wanaweza kupoteza wasomaji makini, maana amekuwa MTUNZI tu wa STORI na mpenda RUSHWA i think
Pia wamekuwa wakimg'ang'ania Mo/Gulam kama tajiri namba moja Tz lkn ukijaribu kuangalia kwa haraka haraka Bakhresa yuko mbali sana ukiangalia raslimali alizonazo ni nyingi kuliko Mo......hawa jamaa hata sijui wana malengo gani......eti Jokate hajafikisha miaka 30? Khaaaah!!!Umri wake n 32 anazeeka sasa.... napata mashaka na hili jarida..
Kwa Mo ni mwenye umri mdogoPia wamekuwa wakimg'ang'ania Mo/Gulam kama tajiri namba moja Tz lkn ukijaribu kuangalia kwa haraka haraka Bakhresa yuko mbali sana ukiangalia raslimali alizonazo ni nyingi kuliko Mo......hawa jamaa hata sijui wana malengo gani......eti Jokate hajafikisha miaka 30? Khaaaah!!!
Wenye umri chini ya miaka 30 tehe,tehe,teheeeeJokate hajafikisha miaka 30,waambie hao Forbes waache ujinga........sasa naanza kupata wasiwasi juu ya hili jarida!!