PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kama ni kweli hongera zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale ya kina Jackline Mengi, kibiashara kinaanzishwa jana - leo kinatambuliwa na Forbes africa.
- Anafanya biashara gani serious ?
- Kampuni yake inaitwaje ?
- Kaajiri watu wangapi na ulipaji kodi wake ukoje ?
UJINGA MTUPU na vikampuni vya mfukoni kama WEUSI hata ofisi hakuna
- Kama Forbes wataendelea kumwamini MFONOBONG NSHEHE ( Forbes Africa Under 30 ) wanaweza kupoteza wasomaji makini, maana amekuwa MTUNZI tu wa STORI na mpenda RUSHWA i think
Jokate ana biashara gani na ofisi ziko wapi? Kuna vijana wengi wako under 30 wana hela kuliko Jokate, nimeanza kutilia mashaka data za hiki kijarida. Jokate huyu anayehangaika maofisin kutafuta deal za u MC na promo awe entrepreneur?Angetajwa Mkenya poa tu ila kwa kuwa ni Mtz acha tupovuke tu.
Nakuunga mkono aisee,na kuna taasisi zinaitumia Forbes kama marejereo yao kitu ambacho ni ujinga mara 100Maandiko yao mengi siku hizi yako kibiashara, Unampa chochote mwandishi anakuandika kama SORT OF PROMOTION ili na wewe uitumie hiyo title kuingiza chochote. Kama hawa forbes Africa ndo matapeli haswaa
Ila huo ndo ukweli mkuu, Ukiambiwa 'WCB Wasafi' ni kampuni huwezi hata kubisha - maana unaona kabisa wako professional na ni legal entity na mpaka kodi wanalipa, lakini ukiona anatumia nguvu nyiingi kusema sijui nini ni kampuni unajua kabisa ni mbabaishajiNimecheka sana kuhusu weusi
Ni kweli. Kuna watu wengi wanaliamini sana hilo jarida bila kujua linaweza kuwa manipulated. Mfano kuna jamaa fulani wa Kenya alipotajwa tu - akaanza kuitumia hiyo TITLE kuuza vitabu vyake vya ujasiriamali. Pia mtu huwa akitajwa anakuwa katangazika sana maana hilo jarida linasomwa na kuaminika na wengi duniani. Ingawa kwa sasa pia jingine la Bloomberg ( US ) huwa linaandika pia - la muhimu ni kulinganisha taarifaNakuunga mkono aisee,na kuna taasisi zinaitumia Forbes kama marejereo yao kitu ambacho ni ujinga mara 100
Jokate ana biashara gani na ofisi ziko wapi? Kuna vijana wengi wako under 30 wana hela kuliko Jokate, nimeanza kutilia mashaka data za hiki kijarida. Jokate huyu anayehangaika maofisin kutafuta deal za u MC na promo awe entrepreneur?
wivu bwana..alafu unakuta ni mvulana(maana mwanaume hawezi kuwa intimidated hivyo)Mzee biashara zipo nyingi. Usishangae sana. Anaweza kuwa ni mjasiriamali wa mwili wake.