Jokate Mwegelo: Yanga bingwa msimu huu

Jokate Mwegelo: Yanga bingwa msimu huu

Kwa fowad yakina sibo mana na molinga? Aache utani bwana, yanga ili sajili kwa mbwembwe na mbeleko za magazeti hai kusajili kitaalamu kama simba ndio maana timu inacheza kama gari lililo katika stelingi.
 
Kwa fowad yakina sibo mana na molinga? Aache utani bwana, yanga ili sajili kwa mbwembwe na mbeleko za magazeti hai kusajili kitaalamu kama simba ndio maana timu inacheza kama gari lililo katika stelingi.
Itawalazimu waiombe TFF + BODI YA LIGI wacheze game kama 10 za ligi pale taifa mfululizo ili wazoeane.
Tofauti na hapo labda wajifunike shuka moja mwezi mzima.
 
Mtani. Nafikiri umemsikia Salum Abubakar sure boy.Akihojiwa amesema ikiwa wao Azam wamefungwa 4 kuna timu itafungwa 10.Aliendelea hayawahi kuona timu nzuri yangu alipoanza kucheza ligi kama waliocheza nao Jumamosi.Simba.Si maneno yangu mtani. Gazeti la bingwa.
Simba mbovu tu..ila Azam mbovu zaidi..kipindi Cha Kwanza Azam walikuwa wanamaliza game..Kocha mduwanzi unawaacha vipi nje wakina Chirwa..naona Tshabalala alilala na viatu Chirwa sio mchezo..
 
yeye angeendelea na kazi yake ya kuichangia timu yao ubingwa haupatikani kwa kuongea mdomoni wasifikiri siasa zao wataleta mpirani
 
Kwa wachezaji gani walio nao? Molinga ?!watasubili sana na ninatabili zahera atakuwa kocha wa kwanza kuonja joto la jiwe baada ya mechi ya Botswana
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo, ameitabiria Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.

Akizungumza na gazeti hili jana, Joketi alisema alipojumuika na wanayanga wenzake kwenye uzinduzi wa tawi la Yanga Kisarawe mjini, alieleza Yanga ni timu ya wananchi na wawekezaji ni wananchi hivyo wanakila sababu ya kutembea kifua mbele kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu

“Sisi ni Yanga na Yanga ni ya wananchi, tunakila sababu ya kutwaa ubingwa msimu huu hivyo wanayanga wanatakiwa watembee kifua mbele kuhakikisha wanaendeleza historia yao ya kuwa mabingwa wa kihistoria msimu huu,” alisema.
Aidha, alisema amefanya uzinduzi wa tawi hilo kama moja ya tawi lake la nyumbani kipindi hiki ili kuongeza chachu ya maendeleo ya mpira wa miguu kwa wilaya ya Kisarawe.

Mwenyekiti wa tawi hilo, Mohamed Maurus, alisema tawi hilo lenye wanachama 150 ni moja ya matawi mama wilaya ya Kisarawe katika kuinua na kuendeleza timu yao kuhakikisha wanaiunga mkono timu yao kwa hali na mali msimu huu

Alisema wanayanga wa Kisarawe wametoa nishani maalumu ya uvumilivu kwa kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, kutokana na hali ya ukata aliyopitia msimu uliopita lakini aliiongoza timu hiyo kumaliza ya pili kwenye Ligi Kuu.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa Kisarawe na nje ya Kisarawe.
 
Sure boy na Azam y
Mtani. Nafikiri umemsikia Salum Abubakar sure boy.Akihojiwa amesema ikiwa wao Azam wamefungwa 4 kuna timu itafungwa 10.Aliendelea hayawahi kuona timu nzuri tangu alipoanza kucheza ligi kama waliocheza nao Jumamosi.Simba.Si maneno yangu mtani. Gazeti la bingwa.

ake siyo kipimo sahihi kabisa cha soak la TZ maana ni timu ambayo haina vision hata kidogo. Mwaka jana haikuwa ya kuzidiwa na Yanga mdebwedo.wao kula nne haimaanishi kuwa wao ni bora baada ya Simba. Kila gem ina strategy yake.
 
Ndoto za alinacha. Ajikite katika mapambano dhidi ya umasikini na divisheni zero wilayani kisarawe. Mambo ya ubingwa wa Tanzania bara aiachie Simba..
Mtakuja kulia nyie mikia FC ohooooo.
 
Back
Top Bottom