Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo mchina ana uhusiano gani na nywele.Mchina kawasaidia sana hawa wadada!!!
Sasa hapo mchina ana uhusiano gani na nywele.
![]()
Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee....ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu....pia ni chafu..kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.....