ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
Kalikaa kwa juu tuu,,haka
ili kajipimie saizi yake hahahahaha.............
Grand PA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalikaa kwa juu tuu,,haka
Mazee mbona mimi naona ziko pouwa tu sio mbaya sanaa au labda ni picha yenyewe...
Kalikaa kwa juu tuu,,haka
![]()
Jokate hii picha ni mbaya sana aiseee ok twende kilioni sio mbaya ila nywele zinaonekana zimfumuka fumuka kama vile zimsukwa na kukaa kichwani muda mrefu pia ni chafu kwa shori kama huyu mazee hakupaswa kuwa hivyo.

kidoti sikioni mbona?
Malaika ndio tule tunywele twa pembeni pembeni kichwani?Nywele zake zitakuwa soft sana bwana! Sio wote wenye nywele kama steelwool! Ndo zikisukwa zinagangamala wiki 3. Soft hair zikitoka kusukwa malaika zinachachamaa!
Eeeh babaMalaika ndio rule tunywele twa pembeni pembeni kichwani?
Mkuu kumbe na wewe Mzee wa kupenda mawigi?![]()